16/05/2025
๐ฅ๐๐Mapenzi ya kule highskul hayakuwa na jokes,hii one step mistake unapata mtu amemeza sumu akafa.
Sasa kuna huyu dem nilikuwa nadate alikuwa anaitwa Linet.Sikuwa peke yangu juu pia Mwalimu wa Kiswahili alikuwa pia ananipiga competition.
Mimi nikapanga na Linet kuwa usiku wa kuamkia Saturday hivyo Friday jioni nitaenda kulala kwao juu alikuwa anaogopa kutembea usiku na mchana hangetaka aonekane na watu waambie wazazi wake fununu.Baada ya kutoka shuleni hiyo Friday jioni kitu saa mbili hivi mimi nilifunga mlango wa nyumba kutoka ndani kisha nikapitia kwenye dirisha ndio wazazi wangu wasijejua sikulala kwangu.
Nikatoka nikaelekea kwa akina Linet,
Naye Linet alikuwa ameniambia nikifika kwao niende hadi kwenye dirisha ya nyumba anayolala niibishe atajua ni Mimi anifungulie niingie.
Ilikuwa kitu saa nne usiku nikafika kwa akina Linet nikabisha dirisha alivyonimbia Linet
Hakuna aliyefungua,nikabisha kwa mara ya pili tena lakini wapi๐๐๐...
Nirushie 100likes nimalizie hii kitu leo leo before 8pm