13/08/2026
πππππ πππππ πππππππ
β€οΈ WEKA LIKE KABLA UANZE KUSOMA!
πππππππ π
Tunaanza pale Tyrone anaingia na kumkuta Lucky akiwa hapo na Asha na Kyla. Lucky bado anaendelea kumsifia Asha na kumwambia vile anaonekana beautiful. π Tyrone anaweza kumuangalia Lucky kwa ile macho ya baba ambaye anataka kujua, βHuyu jamaa ameingia hapa kufanya nini?β ππ
Lucky akigundua Tyrone ameingia, anaweza kujitambulisha vizuri na kueleza kwamba yeye ndiye anasaidia Tinah na marketing ya biashara yake. Tyrone anaweza kumkubali k**a employee, lakini bado atakuwa amesha-notice vile Lucky anamhangaikia Asha. π
Kyla kwa upande mwingine anaweza kukaa kimya lakini ndani anachemka. ππ
Baada ya kuona Lucky akimcompliment Asha, anaweza kuanza kujiuliza k**a sasa kuna mwanaume mwingine anaanza kuingia kwa picture.
Na worst part ni kwamba Larry bado hajui Lucky ameanza kumnotice Asha. π
Asha mwenyewe anaweza kuchukulia compliments za Lucky k**a jokes tu. Lucky akimwambia tena vile anapendeza, Asha anaweza kumjibu kwa utani kwamba βWewe huwezi kaa kimya hata dakika moja?β π
Tyrone akiona Asha na Lucky wanaongea vizuri, anaweza kuanza kumchunguza Lucky zaidi. Remember, Asha ameshaanza kumwambia baba yake kuhusu marriage, so Tyrone anaweza hata kuanza kufikiria k**a huyu Lucky ndiye type ya mtu Asha anaweza kuja kumpenda. πβ€οΈ
Meanwhile, Moh anaweza kuwa bado hajamaliza hasira zake. Baada ya kuchoma nguo za Larry, anaweza kuanza kujuta kidogo juu Larry sasa amemaliza kabisa relationship yao. But pride inaweza kumzuia kuomba msamaha.
Kyla akijua Moh amechoma nguo za Larry, anaweza kuanza kumuogopa kidogo. Anaweza realize kwamba Moh si mtu wa kuchezea feelings zake. π³