Mlisema pia luku tusiwaangushe au sio? Ndiyo hiyo sasa ! Huyu msee ndiye anamanage Zeal Niche Loyal Editions na ni moto wa kuotea mbali 😊
Zest Tv
29/07/2025
Media personalities wetu . Usipite bila kuwapa likes. Asanteniii 😍
Zest Tv
28/07/2025
Tuko site. Bado Zest Tv inagrow na tunawahitaji sana. Join our fanbase if you haven't. Tunapanga kupiga round ya mwisho kwa mjengo ya pale nyuma. Tunaeza rudi when when the duty will call 🫡
Zest Tv
27/07/2025
With the respect to Zest Tv Manager.Tumeona tutumie picha yake Kwa logos yetu.Nicodemus Wafula our manager ametuambia Zest Tv tutafika huko juu 🕹️🫡
26/07/2025
Lakini wasipofund education si ni mbaya.
Government states that there is no funding of Primary and Secondary Education. Sasa Zest Tv tutowa wapi journalists of the young generation. Si poa
Zest Tv
It's cooking ! Pale Zeal Niche Loyal Editions ni k**a karibu panaanza kuchemka. Man to woman, woman to man and vice versa. Kumbe mumejipanga huku nje. Wacha tungojee plans za admins wa huko 🫡
Zest Tv
23/07/2025
🚨DISAPPOINTED GIRL "Mubaba alinidanganya ATI atanioa as a second wife when I was in my 3rd year hapo Kenyatta University.Nikamzalia moto 4th year 2023.Aliniacha na mtoto one a half years ago.Nikimcall anashika simu ananiambia ati he is my father's age mate na atanichapa viboko.Akasema maneno ya kulea watoto alipita kitambo."
Aahha ! Hatari sana joho. It is a sad story indeed. Ungempatia advice gani? Yetu Kwa comment section
23/07/2025
Manager 001 Nicodemus Wafula tunakucheki man. Naskia unasema Kwa interview eti mtu akifanya kazi na wewe ni lazima akuwe successful hata k**a hataki. Hapo nayo uliweza bro. Zest Tv tuko proud everyday juu yako . Tunajua as a team ni lazima utufikishe mahali. Keep it up Senior
Zest Tv
22/07/2025
From inbox"Nilikuwa nmevaa jezi ya Arsenal nikiwa jikoni imagine sikufaulu kuinuwa kikombe"
Wakuu tunajuwa mnachukia Arsenal lakini mbona kauli hiyo kwenye jumbe zetu? Si poa mehn. 😂
Be the first to know and let us send you an email when Zest Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.