07/09/2025
😛😛Kuna wakati mamangu aliniomba 250 anunue mahindi ya ugali nikasema Sina nmesota mbaya,, so akafungua FB yake akajiita Sabie Cate,na akanitumia friend request nikachukua, na akaniambia yeye amekaa sana akiwa single na anatafta mtu yeyote Bora mapenzi,, Mimi kuona hivo haraka nikasema pia Mimi natafta,, so tukaendelea kuchat for 3weeks akasema anataka kujua kwangu 😛kusikia hivo nkafurahia na akasema sasa penye Ako ni mbali nimtumie 500 k**a fare alafu akuje, tukae k**a 1month hivi, nikasema nmeangukia Mali nitachapana Kuni daily,, nikauza jogoo ya 800 nikamtumia zote, nikaoga haraka Ndio niende nimlete ,mama akaniuliza unaenda wapi Husler nikasema naendea mgeni Leo weka ugali ya watu wawili,, mama akasema nmeshukuru sana Kwa kunitumia hizo pesa Unakumbuka nikikuomba 250 ukasema hauna 😛sasa Leo tunakula nyama ,kuangalia Mpesa naona ni jina la mamangu kumbe amenunua line mpya nilizirai nikaamshwa na viboko😛kumbe hapendi ujinga 😛aky wamama mtoke online jameni nyinyi ni matepeli😛😛😛. Ushikwapo shik**ana 🤣🤣🤣🤣
To get more jokes follow my page. Just press the follow button above the post and enjoy
https://youtu.be/pUtbhQOQikE?si=xfPupopUFTbvpYSG