Niko Kadi Movement -Kenya

Niko Kadi Movement -Kenya Niko kadi

hakikisha kwamba upo kadi ili kushiriki uchaguzi ujao na kuteua kiongozi unaye mpenda
25/04/2026

hakikisha kwamba upo kadi ili kushiriki uchaguzi ujao na kuteua kiongozi unaye mpenda

01/04/2026

Celebrating my 3rd year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. ๐Ÿ™๐Ÿค—๐ŸŽ‰

Makiwa kwa ndugu jamaa na marafiki.Mola amlaze pema
13/12/2025

Makiwa kwa ndugu jamaa na marafiki.

Mola amlaze pema

Unategea ukiwa wapi?
10/05/2025

Unategea ukiwa wapi?

10/12/2023

Kenya power yaanua umeme kwa mara nyingine kuzuia kunyewa na elnino

SERIKALI YA MAMA MBOGA NA WANABODABODA KATIKA UBORA WAKE SASA YAMTEUA KIJANA FRANGO ALIYEKU BILA KAZI KATIKA MASWALA YA ...
24/11/2023

SERIKALI YA MAMA MBOGA NA WANABODABODA KATIKA UBORA WAKE SASA YAMTEUA KIJANA FRANGO ALIYEKU BILA KAZI KATIKA MASWALA YA AFYA.

Tuwapongeze jamini kwa makofi๐Ÿ™๐Ÿ’ช๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Follow our page for more updates

Babu owino amwahidi mfwasi kindakindaki wa kinara wa Azimio la umoja Raila odinga bwana Nuru Okang'a ufadhili kwenye shu...
23/11/2023

Babu owino amwahidi mfwasi kindakindaki wa kinara wa Azimio la umoja Raila odinga bwana Nuru Okang'a ufadhili kwenye shule ya upili

Matokeo ya kitaifa ya KCPE yatangazwa huku mwanafunzi bora akipata alama 428
23/11/2023

Matokeo ya kitaifa ya KCPE yatangazwa huku mwanafunzi bora akipata alama 428

MANEENO HAYA
21/11/2023

MANEENO HAYA

Nuru Okang'a ammezea mate mwanamziki tetesi wa nyimbo za injili Justina syokau siku chache baada ya mwanamziki huyu kuch...
14/11/2023

Nuru Okang'a ammezea mate mwanamziki tetesi wa nyimbo za injili Justina syokau siku chache baada ya mwanamziki huyu kuchapisha picha kwenye ukrasa wake wa twitter akidai kwamba yupo 'soko' na anahitaji mtanashati wa miaka 25 huku akiweka kikwazo kwamba mtanashati huyo lazime awe ni bilionea.

Kwa habari zaidi fuatilia ukurasa huuu.

08/11/2023

Address

Kitale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Niko Kadi Movement -Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Niko Kadi Movement -Kenya:

Share

Category