02/09/2025
πππ
Nimekumbuka kuna time niliendanga kwa auntie yangu kanairo βΊοΈsasa hiyo siku nikaulizwa k**a najua kupika ugali nikasema najua hata mimi ndiye huwa napika home.Nikaenda kitchen nikawekelea maji na sufuria kubwaπ
Nilikuwa nataka nipike ugali kubwa juu kulikuwa na auntie, uncle na cousins wangu watatu plus mimi so tulikuwa sita.Home tulikuwa only 5 so niliamua kupika ugali kubwa kuliko ya home.Vile iliiva nikapakua tray tatu za ugali.
Moja ya auntie na uncle , ya pili cousins wangu wawili boys na ya tatu yangu na ya cousins dame.Nikapakua mboga zote nikapeleka sitting halafu nikaendea ugali ya uncle na auntie.
Nikarudi kitchen nikachukua ugali ya cousins wangu kuingia tu sitting cousin yangu akashout "mum ona rosy ako na kiugali kingine" watu ππauntie akaniuliza hiyo ugali ni ya nani nikamwambia ni ya macuzoo hiyo nimeleta mbele ni yake na uncle.
Waliniangalia wakaanguka na kicheko halafu kidogo auntie akaniuliza k**a nilienda kuwapeleka hasara.
Nilishindwa kuongea juu hata ningeanzia aje kuwaambia pia kuna ugali tray ya tatu ambayo ni yangu na ni kubwa kuliko zote ππ
Cousin yangu mmoja akatumwa kitchen kuleta maji akashout " muuuuuum, kuna ugali ya tatu"
Kesho yake saa moja nilikuwa stage nikirudi ushagoo πππππ