Prince Raymond KE

Prince Raymond KE Content Creator // Poet poet// Story writer
(1)

27/04/2025

Nimefanya jambo poa , sindio 🀣

MC Njugush 🫑
26/04/2025

MC Njugush 🫑

Ama Tutoe Collabo Moja na NJUGUSH 😁🫑,
25/04/2025

Ama Tutoe Collabo Moja na NJUGUSH 😁🫑,

Leo nakaa poa , sindio 🀣😹
25/04/2025

Leo nakaa poa , sindio 🀣😹

25/04/2025

Ogopa beshte yako tena sana

"Tuingie hapa ndani siwezi kufanyia Kitu mbaya" 🀣🀣🀣
24/04/2025

"Tuingie hapa ndani siwezi kufanyia Kitu mbaya" 🀣🀣🀣

24/04/2025

English Decided To English and He was shocked 🀣🀣🀣

Send me those Anonymous messages, confessions, opinions and Questions. I will post them on my stories k**a ni mswali, pi...
23/04/2025

Send me those Anonymous messages, confessions, opinions and Questions. I will post them on my stories k**a ni mswali, pia confessions πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://ngl.link/princeraymondke2

Mimi Pale Teaching Practice "Wewe kijana wa kichwa kubwa k**a finance Bill, Unalala kwa darasa na Baba yako hajamaliza f...
23/04/2025

Mimi Pale Teaching Practice "Wewe kijana wa kichwa kubwa k**a finance Bill, Unalala kwa darasa na Baba yako hajamaliza fees" πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

23/04/2025

Mimi pale Teaching Practice πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Wanafunzi lazima wasome . Na kazi napiga kushinda mwalimu wa TSC

22/04/2025

Comrades huwa waongo sana πŸ˜‚

Next week tunaanza kufanya long videos za YouTube , Series kali inakuja inaitwa "The Tenant" Naomba support yenu tu pale...
22/04/2025

Next week tunaanza kufanya long videos za YouTube , Series kali inakuja inaitwa "The Tenant"
Naomba support yenu tu pale YouTube, ku comment, share na kuview.

Wale wako around Nairobi na huwa wanataka kushoot na mimi, hii Ndio sasa ile time ya kuwaweka kwa videos. Get ready.. As Soon as next week tunaanza

Never give up , Try Tomorrow Again. Same thing but with a diff strategy
21/04/2025

Never give up , Try Tomorrow Again. Same thing but with a diff strategy

21/04/2025

IQ level at it's best 🀣🀣🀣

Mtu akifika miaka ngapi anafaa kutoka kwa nyumba ya Wazazi wake 😁
20/04/2025

Mtu akifika miaka ngapi anafaa kutoka kwa nyumba ya Wazazi wake 😁

20/04/2025

Hii kenya kila mtu huwa mwongo 🀣🀣

19/04/2025

Sahii wakitoa 10K kwa M-pesa account yako unabaki na nini?

Coz mimi nitabaki na negative kubwa plus fulizaπŸ˜‚πŸ€£

19/04/2025

Makosa kidogo, Back to the sender πŸ€£πŸ˜‚

Address

Kitale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prince Raymond KE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Prince Raymond KE:

Share