Tawi tv

Tawi tv The Home of Grassroot Sports
(5)

Rose Nangila ni beki wa shule ya upili ya wasichana ya wiyeta ,katika mashindano mbalimbali amezidi kuonyesha ubora wake...
08/10/2025

Rose Nangila ni beki wa shule ya upili ya wasichana ya wiyeta ,katika mashindano mbalimbali amezidi kuonyesha ubora wake.Atafikia viwango vya juu sana akiendelea kutia bidii

Unamuona sio?
08/10/2025

Unamuona sio?

Harambee Stars waelekea Bujumbura wanakotarajiwa kuchuana na Burundi siku ya Alhamisi.
07/10/2025

Harambee Stars waelekea Bujumbura wanakotarajiwa kuchuana na Burundi siku ya Alhamisi.

Mkufunzi wa timu ya harambee stars Benni McCathyWadhania amekuwa na mchango gani katika mchezo wa kandanda nchini
07/10/2025

Mkufunzi wa timu ya harambee stars Benni McCathy
Wadhania amekuwa na mchango gani katika mchezo wa kandanda nchini

Allan Shadrach Otieno: Captain of St Anthony's Boys and Rising Football Star .Kiongozi mwenye tajriba ya juu sana kimche...
07/10/2025

Allan Shadrach Otieno: Captain of St Anthony's Boys and Rising Football Star .Kiongozi mwenye tajriba ya juu sana kimchezo.Unamtambua kwa lipi?

The true definition of leaving everything on the pitch and playing for the badge
06/10/2025

The true definition of leaving everything on the pitch and playing for the badge

Wachezaji wakiamua kukulaza chini alafu mpiga picha awe ange
05/10/2025

Wachezaji wakiamua kukulaza chini alafu mpiga picha awe ange

Mabingwa wa ligi ya kaunti ya Trans-nzoia
05/10/2025

Mabingwa wa ligi ya kaunti ya Trans-nzoia

GREGORY JUNIOR AGESA ameonyesha ubora wake leo katika uwanja wa Ndura Sports Complex.Bao lake limewasaidia wana solidari...
05/10/2025

GREGORY JUNIOR AGESA ameonyesha ubora wake leo katika uwanja wa Ndura Sports Complex.
Bao lake limewasaidia wana solidarity kuiadhibu active na kutwa ubingwa katika ligi ya kaunti.
Atasumbua sana siku za usoni huyu

05/10/2025

SOLIDARITY VS ACTIVE SC

Aldrine Kibet gets his first start for Celta vigo U 19
05/10/2025

Aldrine Kibet gets his first start for Celta vigo U 19

05/10/2025

SINYERERI QUEENS VS DOLPHIN QUEENS
FKF TRANSNZOIA BRANCH WOMEN LEAGUE FINAL

Address

Mumia Street Kitale
Kitale
30200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tawi tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tawi tv:

Share