Mtunasi Tv

Mtunasi Tv Kwa Habari Moto Moto, Uvumi, Mtindo wa Maisha, Burudani na Mengi Zaidi ✨🌟🌟✨

mpe jina la mnyama
09/10/2025

mpe jina la mnyama

Nini unakumbuka kuhusibhawa wasanii wetu ?
09/10/2025

Nini unakumbuka kuhusibhawa wasanii wetu ?

AMBER: "MBOSSO ALINIOKOA NISIBAKWE."~Mwanamitandao na Msanii wa Bongo Fleva Lulu Eugene maarufu k**a Amber Lulu amefungu...
09/10/2025

AMBER: "MBOSSO ALINIOKOA NISIBAKWE."
~Mwanamitandao na Msanii wa Bongo Fleva Lulu Eugene maarufu k**a Amber Lulu amefunguka na kudai Msanii mwenzake Mbosso alimsaidia alipotaka kubakwa miaka ya nyuma.

Amber ameweka wazi kuwa miaka ya nyuma Mbosso alishawahi kumsaidia alipokuwa anataka kubakwa Lakini pia hajawahi kumwambia mtu yeyote.

"Kuna watu waache tu Mungu amewapa roho zao sio za kawaida nakumbuka bila Mbosso leo katika maisha yangu ningekuwa na stori ya kibakwa😢na sijawahi kusikia popote mpaka leo nimeongea mwenyewe." ~Amefunguka Amber Lulu.

09/10/2025

Happy follow-versary to my awesome followers. Thanks for all your support! Jean Paul Nzigamasabo, Kataya Godelive La Douce, Sarah M***a, Dolika Anton, Laurencia Kisinza, Omar Mwangome, Hossy Ndensar Kwekas, Exauce Amalunda Coalbachi Boa, Bernad Shabani, Gäël Thé Wiiz Zola, Kasimu Said, Mwanzia Ule Msee Innocent, Dotto Selemani Lucky, Oumar Diallo, John-nestor Amsini, Elie Pepe Gag, Isaac Munene, T-bouy Bouy, Kēlvīn El Luka's, Alexander Alfred, John Mbukile, Juma Mjeda, Kechegwa Lusindagiza, Deborah Mbangala, Jira Rodgers, Chea Junior, Mugisha Nadege, Emanuele Yahaya, Elvis Papel, Mboma Alohh Daud, André Congo, Palagii John, Anna Bell, Yvonne Eve Ke, Elias Buliro, Yuzza Vanila, Sharifa Elinest, Mwanaidi Haruna, Elizabethy Sumuni, Maria Clara, Beka Karix, Blandine Bunyemu, Mamucute Jumaa, Agry Po

Kati ya Diana b na tanasha Donna unathani Nani akona nyota ya mziki zaidi hapa east africa 😂😂
09/10/2025

Kati ya Diana b na tanasha Donna unathani Nani akona nyota ya mziki zaidi hapa east africa 😂😂

Ni kipi kinakupunga Kwa Abigael Charms
09/10/2025

Ni kipi kinakupunga Kwa Abigael Charms

Neno Moja Kwa mtoto wetu wa k**e !!!
09/10/2025

Neno Moja Kwa mtoto wetu wa k**e !!!

Taja wimbo mojaxwa Zuchu unaoupenda
09/10/2025

Taja wimbo mojaxwa Zuchu unaoupenda

Mwanadada mtangazaji kutoka nchini kenya Azeezah ambae alipewa mwaliko na club ya Yanga kuja kwenye sherehe za Yanga Day...
09/10/2025

Mwanadada mtangazaji kutoka nchini kenya Azeezah ambae alipewa mwaliko na club ya Yanga kuja kwenye sherehe za Yanga Day, Amesema watanzania wana upendo wa dhati anatamani wakenya wajifunze kutoka kwa wa Tanzania.

“Nilifika Tanzania nikapokelewa kwa Shangwe licha ya kwamba sikupafomu ila dakika 3 tu nilizoingia uwanjani walinionesha upendo sana, Natamani wakenya tujifunze kwa waTanzania” Alisema Azeezah🎥

08/10/2025

Ankonzala mashakani na mavazi ya jeshi.hapa akiomba msamaha 😊

08/10/2025

Ila Eliud na mke wake Bite! Eliud anauliza mke wake k**a anaenjoy menu ya chakula 😊

Address

Kenyatta Street
Kitale

Telephone

+254728939399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtunasi Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtunasi Tv:

Share

Category