Pepea show la kijanja

Pepea show la kijanja Kwa Habari Moto Moto, Uvumi, Mtindo wa Maisha na Mengi Zaidi ✨🌟🌟✨

Zuchu Amlalamikia Diamond Kupigiwa Simu za Usiku wa Manane na Mwanadada kwa Jina Amanda, Balaa !! Tazama Video ya Zuchu ...
31/07/2025

Zuchu Amlalamikia Diamond Kupigiwa Simu za Usiku wa Manane na Mwanadada kwa Jina Amanda, Balaa !! Tazama Video ya Zuchu na Diamond

Zuchu ameelezea kutoridhika kwake baada ya kugundua kuwa Diamond Platnumz hupigiwa simu za usiku na mwanamke aitwaye Amanda.Msanii huyo wa Bongo Fleva, ambay...

31/07/2025

Warembo wa Bongo Mjini Msiwaharibu Wachezaji Wakigeni - Diva.
Na Wakenya Wasema Msimguze Mohammed Bajaber. 😊😂

Atapata Mtoto wa Kiume Diamond Platnumz na huyo mtoto atazaliwa na Zuchu, Baba Levo hapa Awali, Je sasa hivi ? Bado tuna...
31/07/2025

Atapata Mtoto wa Kiume Diamond Platnumz na huyo mtoto atazaliwa na Zuchu, Baba Levo hapa Awali, Je sasa hivi ? Bado tunatarajia Mtoto ??

Baba Levo Aweka wazi Kwamba Zuchu ana Mimba ya Diamond Platnumz. Subscribe Kwenye Youtube Channel yetu Mpya, Like, Comment and Share kwa habari za hivi punde...

31/07/2025

Diamond Platnumz na Zuchu Watazama na Kufurahia baada ya Baba Levo Kutangazwa Mshindi CCM, Kigoma

30/07/2025

Zuchu Amuachia Mungu Mambo ya Ndao Afunguka na Kusema Kua " Yeye ndo Anajua Mtu Sahihi na Muda Sahihi"

Kwa Hisani ya Wasafi Media

Wanafanana k**a shilingi Kwa ya pili.... Rayvanny
30/07/2025

Wanafanana k**a shilingi Kwa ya pili.... Rayvanny

28/07/2025

Chief Godlove amehisi Watoto wake wanasikia barudi Saa Nane Usiku, Tazama Watoto wenyewe.

27/07/2025

Tuseme tu Tanzania Wanaiogopa Kenya Ama ?

Barnaba Classic  ndiye mwanamziki Bora wa sauti safi!!!!Hii ni baada ya kuteuliwa na kuwapiku wengi kwenye kitengo hicho...
27/07/2025

Barnaba Classic ndiye mwanamziki Bora wa sauti safi!!!!
Hii ni baada ya kuteuliwa na kuwapiku wengi kwenye kitengo hicho na ameonyesja furahayake mitandaoni Kwa kuandika hivi
"1: BEST MALE VOCALIST OF EXCLLENCE | ALL TIMES 🙏🏿✊🏽💥💣 THANKS TO ALL MY PEOPLE | MWANZA ROCK CITY 🏙️ SEE YOU TONIGHT"

neno Moja kwake!

26/07/2025

Gigy Money yupo tayari Kwa Ndoa ,hapa mpaka amenunua gauni mbele ya mpenzi wake 😊

Address

Kenyatta Street
Kitale

Telephone

+254728939399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pepea show la kijanja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pepea show la kijanja:

Share

Category