Almasi Nillan

Almasi Nillan Toro ... πŸ«…πŸΎ
Real β€” Time Updates! 🌍
Digital Expert | Content Creator πŸ‡°πŸ‡ͺ
From East Africa πŸ‘‡πŸΎ
πŸŽ₯ Watch β€” youtube.com/c/Mirific
(8)

Natoa mafunzo kwa strategy hii β™₯️ Almasi Nillan
16/11/2025

Natoa mafunzo kwa strategy hii β™₯️ Almasi Nillan

Hii story imenivunja moyo banaa  πŸ˜’πŸ’”Mama yake   analia hadharani akisema tangu binti yake ashinde Big Brother Naija na ku...
16/11/2025

Hii story imenivunja moyo banaa πŸ˜’πŸ’”
Mama yake analia hadharani akisema tangu binti yake ashinde Big Brother Naija na kupokea 150 MILLION, hajawahi kumpa hata shilingi moja. Mama yuko kijijini, anateseka, hata nywele hana uwezo wa kusuka… 😭

Lakini IMISI naye amefunguka na kuweka ukweli wote mezani 😒
Anasema akiwa mdogo aliposhika mimba, mama yake alimfukuza. Akalala chini ya madaraja, akaishi k**a mtu wa mtaa… mpaka akapoteza ujauzito wake πŸ˜­πŸ’”
Kumbe maumivu hayo bado yapo moyoni β€” ndo maana hata baada ya ushindi, amekataa kusahau yaliyompata.

Jamani maisha ni safari… sometimes success haifuti majeraha ya zamani 😒
Swali ni moja tu β€” je, IMISI yuko sahihi kushikilia maumivu? Au mama yake anastahili msamaha na msaada sasa? πŸ₯ΊπŸ’”

πŸ‘‡ Wewe unaonaje hii family drama?
πŸ“Œ Follow πŸ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. πŸ”₯

Kumekucha πŸ˜¬πŸ‘‡πŸΎ
16/11/2025

Kumekucha πŸ˜¬πŸ‘‡πŸΎ

Cardi B ametikisa mtandao baada ya kusema kuwa hajawahi kumuomba Offset pesa hata siku moja.Anasema kitu alichotaka tu n...
15/11/2025

Cardi B ametikisa mtandao baada ya kusema kuwa hajawahi kumuomba Offset pesa hata siku moja.
Anasema kitu alichotaka tu ni uaminifu na mwanaume anayejali watoto wao.

Ameweka wazi kuwa cheating si afya, na siyo sawa kwenda nje halafu kurudi home kana kwamba hakuna kitu kimetokea.

Cardi pia amesema hajawahi kutegemea mwanaume kifedha.
Hata akiwa mjamzito miezi 8 na bado akitoka na billionaire Stefon Diggs, aliendelea kufanya hustle na kuuza album yake mwenyewe.

Akasema:
β€œI’m not lazy. My kids will NEVER suffer because a man left me.” πŸ’ͺπŸ”₯

Moja tu kuhusu Cardi B β€” ni hustler wa ukweli na mama anayesimama imara.

πŸ“Œ Follow πŸ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi. πŸ”₯

The wise commit to a plan that compounds silently .... Hekima ya kweli ni kujitoa kwa mpango ambao hukua na kuongezeka k...
15/11/2025

The wise commit to a plan that compounds silently .... Hekima ya kweli ni kujitoa kwa mpango ambao hukua na kuongezeka kimya kimya. πŸ§ πŸ“ˆπŸ’΅

15/11/2025

K**a umeona siku ya leo mwambie Mungu asante πŸ™πŸ½πŸŒπŸ¦‹

15/11/2025

Walinirusha kwenye pori la mbwa mwitu, lakini nitarudi nikiwa ndiye kiongozi wa pori hilo.
🐺πŸ”₯
Almasi Nillan

15/11/2025

Sasa ukinigombanisha na ndugu jirani atanizika nani? Moyo nionee imani.
πŸ«€πŸ˜’

🚨 Breaking News πŸ˜³πŸ’”β€ΌοΈ  finally amevunja ukimya kuhusu zile tetesi zilizikuwa zinatrend mtandaoni eti yeye na   wameachana...
15/11/2025

🚨 Breaking News πŸ˜³πŸ’”β€ΌοΈ
finally amevunja ukimya kuhusu zile tetesi zilizikuwa zinatrend mtandaoni eti yeye na wameachana! 😱πŸ”₯

Kwa siku kadhaa internet imekuwa ikipiga kelele, watu wakibuni story, wengine wakitafuta mchoro… lakini kumbe hamna hata ukweli kidogo! 😭 Sean mwenyewe ametoka kasema, β€œSo false.” Akacheka juu juu akisema, β€œIt’s pretty funny how the internet can give life to things with no confirmation.” πŸ˜­πŸ˜‚

Imagine eeh… watu wanavaa sare za detectives mtandaoni, kumbe wanaspeculate tu bila ushahidi.
Sean na JhenΓ© bado wapo fresh, bado love iko stable, na drama yote ilikuwa porojo ya mitandao tu. ❀️πŸ”₯

Lakini mazee internet ikiamua kuku-cancel au kuku-separate, inafanya faster kuliko divorce court. πŸ˜­πŸ’”
Lesson hapa? Usiamini kila kitu unachosoma mtandaoni… especially mambo ya mahusiano ya watu chukulia k**a burudani tu. β™₯️

πŸ“Œ Follow πŸ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. πŸ”₯

I got over 13,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰
15/11/2025

I got over 13,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! πŸŽ‰

It takes time to build a castle, anza leo bado haujachelewa... 🧠🀳🏽 The wise commit to a plan that compounds silently .. ...
15/11/2025

It takes time to build a castle, anza leo bado haujachelewa... 🧠🀳🏽 The wise commit to a plan that compounds silently .. 🌹

🚨 Breaking News πŸ˜³πŸ’”πŸ”₯Billie Eilish amezua gumzo kubwa mtandaoni! Mrembo huyu wa muziki wa pop, ambaye anajulikana kwa kuse...
15/11/2025

🚨 Breaking News πŸ˜³πŸ’”πŸ”₯
Billie Eilish amezua gumzo kubwa mtandaoni! Mrembo huyu wa muziki wa pop, ambaye anajulikana kwa kusema ukweli bila kuogopa, amemkashifu 😱 β€” akauliza kwa nini mtu ambaye anaonekana kuwa kwenye safari ya kuwa trillionaire wa kwanza duniani hajafanya zaidi kusaidia binadamu.

Hajachagua maneno yake kirahisi πŸ˜³β€¦ alisisitiza kuwa hakuna roketi, satellite, au teknolojia yoyote inayoweza kushinda hali halisi ya watu wanaoteseka hapa duniani sasa.

Kauli yake imetengeneza mitazamo mchanganyiko: baadhi ya mashabiki wanampongeza kwa kusema ukweli kwa nguvu, wengine wanamlinda Elon kwa mafanikio yake makubwa. Lakini kitu kimoja ni hakika β€” Billie Eilish kila mara anafanya sauti yake kusikika na kusababisha mjadala πŸ”₯πŸ’¬.

πŸ“Œ Follow πŸ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. πŸ”₯

Address

Kwale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Almasi Nillan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Almasi Nillan:

Share