ZUU MEDIA KENYA

ZUU MEDIA KENYA This is a platform consisting of individuals with the same ideas, goals and objectives basically to

"WORLD CEREBRAL PALSY DAY 2025"  A DAY OF HOPE IN KWALE COUNTY THROUGH DIANI CP CAREGIVERS ORGANISATION Writer: Andalla ...
07/10/2025

"WORLD CEREBRAL PALSY DAY 2025"
A DAY OF HOPE IN KWALE COUNTY THROUGH DIANI CP CAREGIVERS ORGANISATION

Writer: Andalla Francis Dennis

SambaSports Youth Agenda

MICHEZO-SOUTH COAST VOLLYBALL CLUB, TIWI BAPTIST, MARIANIST INSTITUTE NA WASHIRIKI WENGI WATIA FORA:SambaSports Youth Ag...
12/06/2025

MICHEZO-SOUTH COAST VOLLYBALL CLUB, TIWI BAPTIST, MARIANIST INSTITUTE NA WASHIRIKI WENGI WATIA FORA:

SambaSports Youth Agenda

Uk.5

Fly Skyward Express Diani Beach Zero Plastic Pollution Festival ,2025Diani Beach Zero Plastic Pollution Festival ,2025

Muandishi :Andalla Francis Dennis

USAFIRI: SKYWARD AIRLINES NA KACHUMBARI TRAVELS WASHIRIKI DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL 2025SambaSports Yo...
12/06/2025

USAFIRI: SKYWARD AIRLINES NA KACHUMBARI TRAVELS WASHIRIKI DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL 2025

SambaSports Youth Agenda

Uk.4
Muandishi: Andalla Francis Dennis

WARSHA 12 NDANI YA SIKU 3 ZA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL 2025"SambaSports Youth AgendaUk.3Muandishi: An...
12/06/2025

WARSHA 12 NDANI YA SIKU 3 ZA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL 2025"

SambaSports Youth Agenda

Uk.3

Muandishi: Andalla Francis Dennis

UBUNIFU MKUBWA WA WANAMITINDO NDANI YA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION 2025"SambaSports Youth AgendaUk.2Muandishi: A...
12/06/2025

UBUNIFU MKUBWA WA WANAMITINDO NDANI YA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION 2025"

SambaSports Youth Agenda

Uk.2

Muandishi: Andalla Francis Dennis

"KUPUNGUA KWA TAKA KUNAASHIRIA MAFANIKIO YA TAMASHA LA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL"Uk.1SambaSports Yout...
12/06/2025

"KUPUNGUA KWA TAKA KUNAASHIRIA MAFANIKIO YA TAMASHA LA "DIANI BEACH ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL"

Uk.1
SambaSports Youth Agenda

Muandishi: Andalla Francis Dennis

ZAWADI JUMA, ZAO LA "MR & MISS SAMBA 2024", AGEUKA NGUZO KUU KWA "YOUNG MOTHERS"Mei 27, 2025 itasilia kuwa tarehe iliyos...
28/05/2025

ZAWADI JUMA, ZAO LA "MR & MISS SAMBA 2024", AGEUKA NGUZO KUU KWA "YOUNG MOTHERS"
Mei 27, 2025 itasilia kuwa tarehe iliyosheheni kumbukumbu kwa mwanadada Zawadi Juma, hii ni baada ya kuzindua rasmi mchakato wa safari ya mabinti waliojifingua kupitia mimba za utotoni.

Muandishi: Andalla Francis Dennis

SambaSports Youth Agenda Talanta Muanza Media Lynnes Shosaha Foundation The Art of Living

"DIANI ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL" TAMASHA LINALOLENGA UIMARISHAJI WA FUKWEMwaka 2025 unaonekana kusheheni tija tel...
26/05/2025

"DIANI ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL" TAMASHA LINALOLENGA UIMARISHAJI WA FUKWE
Mwaka 2025 unaonekana kusheheni tija tele hasa katika vita dhidi ya usambaaji wa plastiki kiholela. Mchakato huu unaendeshwa na shirika la SAMBASPORTS YOUTH TRUST kupitia tamasha la "DIANI ZERO PLASTIC POLLUTION FESTIVAL" ambapo ni MAKALA ya pili Toka kuanzishwa kwake 2024.

SambaSports Youth Agenda

Muandishi: Andalla Francis Dennis

Zaidi ya vijana  250 walitangamana Kwa lengo la kuonyesha na kufurahia UTAMADUNI wa asili ya Kiafrika katika hafla ya ki...
10/05/2025

Zaidi ya vijana 250 walitangamana Kwa lengo la kuonyesha na kufurahia UTAMADUNI wa asili ya Kiafrika katika hafla ya kipekee iliyofanyika katika ukumbi wa KOMBANI SOCIAL HALL kaunti ya Kwale. Shughuli hii iliyoandaliwa na Na shirika la The Art of Living Kwa ushirikiano na SambaSports Youth Trust lilimshuhudia mkurengenzi mtendaji wa SambaSports Youth Agenda M. Mwachausa akihudhuria k**a mgeni wa heshima.

A HAND OF COMPASSION AND HOPE IN GETS TO KILIFI!In a bid to instill hope to the community, Kilifi residents experienced ...
02/05/2025

A HAND OF COMPASSION AND HOPE IN GETS TO KILIFI!
In a bid to instill hope to the community, Kilifi residents experienced a hand of compassion from a community entity famously known as Lynnes Shosaha Foundation which paved its way in partnership with Wenn das der Elvis wüsste e. V.Wenn das der Elvis wüsste e. V.Wenn das der Elvis wüsste e. V. (a foundation from Germany) Represented by a performing artist named Simon Krebs.

Writer Andalla Francis Dennis

PARTNERSHIP FOR SOCIAL TRANSFORMATION IN TAITA TAVETA COUNTY -MoU between The Taita Taveta County Government and SambaSp...
30/04/2025

PARTNERSHIP FOR SOCIAL TRANSFORMATION IN TAITA TAVETA COUNTY
-MoU between The Taita Taveta County Government and SambaSports Youth Agenda -

WANAFUNZI WA Maasai Mara University WAPIGA ZIARA SAMBASPORTS YOUTH TRUST:Aprili 8,2025 ilikuwa tarehe ya mgeni njoo, hii...
08/04/2025

WANAFUNZI WA Maasai Mara University WAPIGA ZIARA SAMBASPORTS YOUTH TRUST:
Aprili 8,2025 ilikuwa tarehe ya mgeni njoo, hii ni baada ya jumla ya wageni 67 kuzuru katika makao makuu ya SambaSports, idadi hii ilijumuisha jinsia ya kiume, k**e 30 na 37 mtawalia.
Ziara hii ilidhamiria kutambua shughuli zinazotekelezwa ndani ya Sambasports Youth Trust kusoma mifumo inayochochea ujenzi wa Amani kupitia michezo na sanaa, aidha hii ilikuwa fursa kwao kuelewa uhalisia wa kimazingira na kuwaandaa katika upambanaji hasa baada ya kufuzu.Wageni hawa walitembezwa ofisini ili kutangamana na wenyeji wao katika idara maalum na miradi iliyo chini ya SambaSports Youth Trust.Kutokana ukwasi wa SambaSports katika mbinu za kutatua mizozo katika jamii na kuwawezesha vijana, wageni wengi wamewatembelea ili angalau wapate ujuzi na mbinu sahihi.



Address

Tiwi
Kwale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZUU MEDIA KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share