31/08/2025
Nandi Nyembe South African Star Amefariki Akiomba Msaada at 75
Nandi Nyembe, one of South Africa’s most loved actresses, amefariki dunia akiwa na miaka 75. What shocked millions is how her final days were marked not by the glory of her legendary career, but by poverty and desperation. Katika video zilizosomeka sana, mam’Nandi alionekana amekaa kwenye wheelchair, akiwa na uso wa uchovu na mvi nyeupe, akiomba msaada wa kifedha ili kununua mahitaji ya msingi.
This reality broke many hearts because Nyembe was a household name. Katika miaka ya 1990 na 2000, sura yake haikosekana kwenye runinga za Afrika Kusini. Aliigiza katika vipindi vikubwa k**a Soul City, ambacho kilionyesha wazi changamoto za HIV/AIDS wakati bado ilikuwa ni mada ya aibu, na Yizo Yizo, kilichoonyesha maisha halisi ya mtaa. Alishiriki pia kwenye filamu Yesterday, ambayo ilifika kwenye Oscars mwaka 2004.
Her legacy was more than just acting. Alikuwa mwalimu, mentor na role model kwa vizazi vipya vya waigizaji. Lakini despite all this, mwisho wake ulifunua ukweli mchungu: kwamba waigizaji wengi barani Afrika, hasa South Africa, hawana pensheni, health cover au royalties kutoka kazi zao.
Industry leaders and fans alike wameeleza uchungu kwamba “ikiwa mam’Nandi aliishia kuomba msaada, basi kila mwigizaji yuko kwenye njia hiyo.” Hii imezua mjadala mkubwa juu ya namna serikali na mashirika ya filamu yanavyoshindwa kuwalinda icons zao.