13/12/2025
Hon.Jackson Nakusa For Senator 2027, Kuna watu tumejaza kwenye simu zetu, lakini hata ukipiga simu hawapokei. Na hata ukipata shida, hawajitokezi kukusaidia. Ni wakati wa kuwaondoa watu wa aina hiyo kwenye simu zetu na pia kwenye uongozi wetu.
Jackson Nakusa
TURKANA SOUTH DAILY NEWS