Mtemi Titus

Mtemi Titus Your one-stop destination for sports news, match updates, and sharp analysis. For Sports Commentary services, call/text: 0791 204 426

90% ya watu hawatamtambua huyu mchezaji. Zamani akiwa mdogo. Anaweza kuwa ni nani?
21/04/2026

90% ya watu hawatamtambua huyu mchezaji. Zamani akiwa mdogo. Anaweza kuwa ni nani?



πŸ‡§πŸ‡ͺ⚑️ JΓ©rΓ©my Baffour Doku – Premier League’s dribbling King. πŸ₯‡ Successful dribbles – 1st* πŸ₯‡ Offensive duels won – 1st*  πŸš€...
21/04/2026

πŸ‡§πŸ‡ͺ⚑️ JΓ©rΓ©my Baffour Doku – Premier League’s dribbling King.

πŸ₯‡ Successful dribbles – 1st*
πŸ₯‡ Offensive duels won – 1st*
πŸš€ Progressive carries – 1st
🎯 Dribbles per 100 touches – 1st
πŸ”„ Ball carrying frequency – 1st
πŸ”₯ Successful attacking actions – 1st
πŸ’ͺ Duels won – 1st
πŸ“¦ Touches in box – 1st
πŸ“ˆ Progressive actions – 1st
⚑ Progressive action rate – 1st
🎯 Progressive pass accuracy % – 1st
*Most of any player in the Top 5 Leagues 🌍

ℹ️ DataMB

Pep Guardiola amebakisha taji moja tu la ligi ili kufikia rekodi iliyowekwa na Sir Alex Ferguson ua kushinda mataji meng...
21/04/2026

Pep Guardiola amebakisha taji moja tu la ligi ili kufikia rekodi iliyowekwa na Sir Alex Ferguson ua kushinda mataji mengi zaidi (13) ya ligi ndani ya ligi kuu za Ulaya.

Iwapo Burnley itapoteza dhidi ya Manchester City, watashuka daraja na kurejea Championship. Hii itakuwa timu ya pili kus...
21/04/2026

Iwapo Burnley itapoteza dhidi ya Manchester City, watashuka daraja na kurejea Championship. Hii itakuwa timu ya pili kushushwa daraja. Itakuwa imesalia moja!

Bila ushabiki... Game imekuwa ngumu na unahitaji mchezaji ambaye atakuwa k**a master key kwa defence ya mpinzani. Utamch...
21/04/2026

Bila ushabiki... Game imekuwa ngumu na unahitaji mchezaji ambaye atakuwa k**a master key kwa defence ya mpinzani.

Utamchagua Rayan Cherki au Bruno Fernandes?

Arsenal fans msiwe na wasiwasi kabisa. Crystal Palace ndio itaamua ligi iende wapi!
21/04/2026

Arsenal fans msiwe na wasiwasi kabisa. Crystal Palace ndio itaamua ligi iende wapi!

Bomani Reloaded inapumua hewa safi kileleni mwa jedwali.Hii ni Mwereni Group Super Cup!
21/04/2026

Bomani Reloaded inapumua hewa safi kileleni mwa jedwali.

Hii ni Mwereni Group Super Cup!

Prime Hazard or Rayan Cherki??
21/04/2026

Prime Hazard or Rayan Cherki??



Michael Olise amelaumiwa sana mitandaoni na baadhi ya mashabiki wa soka kutokana na kutovaa fulana maalum ya Bayern Muni...
21/04/2026

Michael Olise amelaumiwa sana mitandaoni na baadhi ya mashabiki wa soka kutokana na kutovaa fulana maalum ya Bayern Munich kusherehekea Ubingwa wa Bundesliga na pia kukosa kuonekana kwenye picha ya pamoja ya wachezaji hao baada ya kushinda tajj kwa mara nyingine.



🚨Orodha ya Wachezaji wanaogombania kiatu cha Ufungaji bora kwenye Premier League.
21/04/2026

🚨Orodha ya Wachezaji wanaogombania kiatu cha Ufungaji bora kwenye Premier League.

🚨 Oridha ya Makocha wanaopewa nafasi ya kuwa kocha mpya wa Real Madrid CF kwa msimu Ujao.πŸ‡©πŸ‡ͺ Klopp πŸ‡΅πŸ‡Ή Mourinho πŸ‡¦πŸ‡· Pochett...
21/04/2026

🚨 Oridha ya Makocha wanaopewa nafasi ya kuwa kocha mpya wa Real Madrid CF kwa msimu Ujao.

πŸ‡©πŸ‡ͺ Klopp
πŸ‡΅πŸ‡Ή Mourinho
πŸ‡¦πŸ‡· Pochettino
πŸ‡«πŸ‡· Deschamps

Address

Lodwar
30500

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtemi Titus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtemi Titus:

Share