30/11/2025
Akon once said “They don’t show Africa the way it really is. They only show the negative stuff — poverty, disease, war. But Africa is so much more than that… it has beauty, culture, innovation, and opportunity”
So Ni k**a hii statement ya “kukimbia kwa bush imechoma mpaka your so called big artist wa turkana🤭…but come to think of it, turkana iko na locations kali kali ,kuna eliye springs ,kuna loropio ,kuna kalokol ,muende hizo places mshoot video kali kali muache kuwa local sana kwani kazi ya wasanii ni gani kwa jamii🙄🙄🙄mbona kila siku ni shuka na kukimbia kwa bush ama kusimama kwa mlima 🤭😂😂😂 mnafanya watu wa nje waamini turkana haina places supu juu sasa if you don’t want to invest kwa video how do you want watu wa nje watembelee turkana yet mnaonyesha tu bushes na mlima ..mtakuja jua naongea sense siku moja ..ajuma is still the best video in turkana this year…poleni wenye wivu mi ndio papalito kiboko yenu 🙌🏼😂😂🤭
Papalito
Turkana international Artist