Becky citizen tv

Becky citizen tv keep smilingπŸ₯°
(1)

RIP OtuomaπŸ•ŠοΈCondolences to Mrs Otuoma~Rachaael and the family
22/12/2024

RIP OtuomaπŸ•ŠοΈ
Condolences to Mrs Otuoma~Rachaael and the family

Sometimes its hard to know who loves you genuinely...marafiki wengine utake advantage of our good hearts😭
18/06/2024

Sometimes its hard to know who loves you genuinely...marafiki wengine utake advantage of our good hearts😭

Kati ya neema na becky gani nzuri?
14/06/2024

Kati ya neema na becky gani nzuri?

Happy birthday to meβ™₯️β™₯️
18/05/2024

Happy birthday to meβ™₯️β™₯️

Mapenzi shikamoo
01/05/2024

Mapenzi shikamoo

Sshhh...guys have you watched this?? If yes type tittle and if no go to jacky matubia's channel and watch..it's litπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯...
28/04/2024

Sshhh...guys have you watched this?? If yes type tittle and if no go to jacky matubia's channel and watch..it's litπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Good morningπŸ₯±
25/04/2024

Good morningπŸ₯±

Trisha amesema mwenye atafall in love na yeye atakua anapata monthly allowance ya 1M per month
29/03/2024

Trisha amesema mwenye atafall in love na yeye atakua anapata monthly allowance ya 1M per month

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸ—π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ Follow Nandwa Isaac𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Lexy amefika nyumbani amejam mbaya sana anafikiria tu maneno ya Pupa...
29/03/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸ—π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡
Follow Nandwa Isaac

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Lexy amefika nyumbani amejam mbaya sana anafikiria tu maneno ya Pupa akimwambia k**a anafikiria kumpenda ni njaa inamsumbua atafute mutura akule atakua sawa. Hii kitu inamuuma Lexy mbaya sana. Amelia alikuja kwa room yake akamuuliza unataka nini mum? Amelia akamwambia naelewa uko na right ya kunikasirikia but iam very sorry sikujua utajam hivyo but mikono zangu zilikua tight na singeeza kukuambia ju ulikua ushanifukuza na Becky ndio alikua ananihost. Lexy akamuuliza mbona hungeenda polisi ureport Moh? Amelia akammwambia ningekosa place ya kulala,so ilibidi nikanyagie.

Lexy akamuuliza na story ya Pupa,unajua yeye ni gondi? Amelia akamwambia zii,sina idea ju aliniambia aliacha. Lexy akamwambia Pupa bado ni gondi na ako na gun na alisema hataacha anytime soon. Hii sasa ni Lexy kumchomea PupaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Lexy akamwambia so acha nione utachose nini,gondi ama mimi mtoto wako.

Becky na yeye ashafika nyumbani,akaulizwa kazi ilikua aje? Becky akamwambia ilikua sawa,nilipata mdosi mzuri ako na pesa na anakaa peke yake hata amesema k**a anaeza nihire permanently. Junior akamuuliza, uko sure huyu jamaa hamake moves kwako? Ju how now? Becky akamwambia relax,sijaconfirm job bado relax. Kumbe Becky alisahau charger yake kwa huyo jamaa,sasa Junior kusikia hivyo,anakula nare mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baadaye kiasi, Lexy alikuja kwa room ya mamake akamkosa akaona kuna cratch yake hapo chini akashindwa kwani leo madhe hatumii cratch. Akachungulia bafu,Amelia hayuko,akashindwa sana ameenda wapi. Simu yake iko hapo kwa bed.Lexy anashindwa sana madhe ameenda wapi,simu ameacha hapa na hayuko. Kumbe Amelia amekuja kwa Pupa.

Pupa aliona madhe akamuuliza rada,kuna shida? Amelia akakaa chini kwanza,akauliza Pupa,unajiona wewe ni mjanja sana sindio? Pupa akauliza madhe nimefanya nini? Amelia akamwambia sikiza, mimi si rika yako,kumbe maisha ya ukora hujawai acha hadi unaonyesha Lexy gun ukimwambia hutawai acha? Pupa akamwambia mum,ndio nilisema lakini nina reason na sijui k**a itakubamba. Amelia akamwambia ongea sai nataka kusikia. Pupa akamwambia madhe sikiza, Lexy anafall in love na mimi na nilimwambia hivyo ndio achoree hiyo story ju mimi sitaki na ilibdi nimwabia hivyo ndio aachane na mimi kabisa. Amelia hajawai shtuka hivyo wueh....kisha punde si punde, Lexy mwenyewe akamcall Pupa na Amelia akamwambia pokea na uweke loud speaker. Lexy akauliza Pupa k**a madhe amekuja huko,Amelia akasignal Pupa akamwambia sema sijakuja na hivyo ndio Pupa alisema. Amelia sasa ashajua ukweli wa mambo,Pupa aliacha ugondi but he had to lie ndio Lexy amuondokee.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Junior wanapelekana mbio na Moh na Junior anaambia Moh itabidi umeniheshimu sawa,mimi si Sanchez. Becky alikuja akauliza shida ni nini? Moh akamwambia ni hiki kimtu lakini Becky alimwambia wee hutaniongeleshea bwana hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Becky aliuliza Junior shida ni nini? Junior akamwambia just because nilimwambia aachane na mali ya wenyewe hakusikia.

Amelia akiwa amekaa ndio akaanza kukumbuka,first day Lexy kumuona Pupa kuna venye aliact na venye aliambia Pupa kuhusu kumfanyia massage. Sai sasa ndio Amelia anajua ooh,so Lexy all along she has been "wanting" Pupa? Pupa alikua mkweli akaambia Amelia ilibidi adanganye ndio amuache. Lakini Amelia akamwambia mimi siezi kuwa comfrortable ukitembea na hiyo gun,sijui k**a unanielewa? Pupa akamwambia yeah nakuelewa kabisa madhe. Amelia akamuuliza,so hii gun uko na business gani nayo? Pupa alimwambia hii kitu ni fake na niliichukua ile siku Trisha alituma niuliwe na sitaki kupeana iende kwa mtu wrong.

Lexy amejaribu kumake calls lakini zii hampati mamake,ashauliza Sanchez,Sanchez pia hajui. Lexy akaona acha amcall Becky ju Moh hawaongei na Junior hawaelewani,ikabidi tu amcall Becky.

Kwa Becky alimwambia Junior please babe, story za Moh chorea ju yeye anakuanga mtu haeleweki ju sai natoka kiasi narudi. Junior akamuuliza unaenda wapi? Becky akamwambia come on babe, naendea charger kwa yule jamaa. Junior akamuuliza ooh kwa yule bachelor guy,ama twende woteπŸ˜‚πŸ˜‚Becky akauliza Junior kwani huniamini ama? Junior akamwambia unajua kuna venye eeeh unajua wee unajua tu. Becky alimwambia sikiza babe, I love you and I respect you,wewe enda kazi acha niendee charger I promise hakuna charger ingine nitapewa,ni ile yangu tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Amelia alifikiria akamwambia sasa hii gun tunaeza enda the legal way tuipeane. Pupa akamuuliza hutakua unanipeana kwa polisi? Amelia akamwambia apana,I have a lawyer friend,I know what to do. Pupa na Ameia wakaelewana na ubeshte ukarudi.

Kuna job Sanchez ameorganizia Junior ya mjengo. Junior akamwambia manze kuna story nataka kukuchapia,ni wewe ulionyesha Becky place ya Job? Sanchez akamwambia yeah,kuna noma? Junior akamwambia alipata but manze hii job iko kwa msee bachelor hana mtu. Sanchez akamwambai relax, Becky ni mjanja anajua kitu anafanya so usiwe na wasiwasi na yeye,lakini Junior akamwambia shida si Becky,shida ni huyu msee hatumjui anaeza make some movesπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani Junior ako na insecurities zingine,mwenda but ukweli wa mambo ni,hii imeendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
11/03/2024

πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”

118 likes, 4 comments. β€œlet's do it with love don't harvest from our menπŸ’”πŸ’”β€

05/03/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸ“π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏

Becky alimuongelesha Imelia hadi akaingia box akaamua kubaki kwa Lexy,and that was one,very big,mistake. Becky aliambia Lexy madhe amekubali kubaki you will work on your issues,Lexy akashukuru na akasema hatasumbua madhe tena hadi room yake iundwe. Moh ashaenda kutengeneza room ya Imelia already na Becky akaambia madhe,aki nitakumiss huko kwangu,Imelia akamwambia pia nitakumiss but nitakua nakuja kutembea bora tu usimwagilie maji kwa malazi yangu...that was a direct hit kwa LexyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Becky ndio huyo akaondoka,na Imelia akaambia Lexy pia anaenda kwa room apumzike kiasi, lakini Lexy akasema nini "this one down,one more to go " na one more ni nani? Pupa,aah! Makosa. Lexy,alikua na mission yake kutaka mamake akuje huku,that deal was too good and now Imelia kiko karibu kukuramba mamaa...how I wish!

Becky kufika huku nje akiwa na Moh,Moh akamwambia sasa sikiza Becky, ni wakati wetu huyu mama atupe mali,si tushamsaidia kuwa na mtoto wake? Becky akamwambia usijali,Imelia anajua chenye anafanya ,yeye ni muwise sana. Imelia alikua hapo juu anawachungulia chungulia,so Becky inabidi aongeleshe Moh kimachungu but ajifanye wanacheka,sasa Moh na yeye pia anaanza kumshika Becky akimfinya but anajifanya anampapaza,ju Imelia anawaangaliaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Becky alirudi akafika home Junior ndio anamalizia chakula,akamwambia baabe,hauezi kuwa romantic uningoje sweetie? Junior akamwambia aii,hakuna uromance kwa chakula,nilikua njaa mbaya,Becky akanotice,Jeff hayuko,akauliza Junior,baba Jeff,mtoi ako wapi? Junior akamwambia ameenda nje kutembea na Pupa wanarudi. "Ati kutembea na Pupa",Becky alijam,akamuuliza mtoto wangu unapeana kwa stranger? Junior akamwambia Pupa si stranger wajameni lakini Becky alimuita my friend,sikiza, mtoto wangu huwezi peana kwa mtu hatujui so sikiza bro,toka nje utafute mtoto. Junior akamwambia come on its Pupa,lakini Becky ako serious,thank God punde si punde, Pupa na Jeff wakarudi,walikua wameenda kuuza vitu fulani na hata kaJeff pia kamepata kacommisision kiasi.

Becky sasa anajifanya ati amefurahi Pupa kutembea na Jeff na venye ametetesha Junior,Jeff aliuliza Pupa k**a kesho atakuja tena amchukue? Pupa akamwambia yeah usijali,uko msharp sana. becky akaambia Jeff aingie kwa nyumba lakini Junior amebambika,kuona mtoto wake ako msharp na anaeza chapa buzz shida tu ni Becky...

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Imelia ashafika kwa room yake na ashaletewa lunch na Moh,akamwambia Moh,si ungeacha nikuje tu huko chini? Moh akamwambia relax queen of the house,mbona ukuje na niko hapa kukuhudumia? Imelia akamwambia its ok,but hungejisumbua,kisha Moh akamuuliza madhe,si bado niko kwa ile plan yao? Imelia akamwambia yeah,wewe kuwa tu mtoto mzuri,utapata mazuri na Imelia akainsist,akamwambia iam sorry kwa yale ulipitia ukigrow up,Becky aliniambia kila kitu na si kwa ubaya,just forgive your mum kwa kutokuelewa. Moh didnt see that coming...

Becky na yeye aliwakia Junior but akatulizwa ma akaulizwa kwa mansion kuliendaje? Becky akamwambia wueh, tulijaribu at least sai Lexy na Imelia wako k**a daughter na mother alafu kuna venye Lexy hadai story zako na hataki kukuona huko kwa mansion...already tushajua mbona Lexy hataki Junior huko ju anajua akona mission.

Junior akaambia Becky by the way,Pupa aliniambia kuna venye Trisha alibribe Moh wenu ili waget rid of Pupa na Imelia na ni Lexy aliambia Pupa. Becky alishangaa sana,iweje amekua na Moh na Moh hajamwambia kitu k**a hiyo.

Huku kwa mansion Imelia ako happy sana na ashaambiwa na Moh kuhusu deal ya Trisha kumaliza Imelia na Pupa na Imelia ashajua ni Lexy alienda kuwarn Pupa.

Hii kitu haikalii Becky poa,ati Lexy akawarn Pupa hadi akaambia Junior huoni kuna kitu kati ya Lexy na Pupa? Junior akamwambia siezi jua but kukiwa wakifendana iko tu sawa ju still Lexy alifanya poa kuambia Pupa. Kisha Becky akaambia Junior,guess leo venye Moh ameniambia,anataka share yake? Junior akamwambia but uzuri Imelia is a super wise,anajua chenye atafanya kisha Junior akamwambia manze tuache kudepend kwa watu tuanze kujisimamia. Becky akamwambia thats great idea,ju hata pia mimi ni mtu wa hospitality so nikienda kufanya tourism iko tu sawa. Junior akamwambia kwanza venye wewe ni young beatiful talented,you can make both ends meet but Becky akamwambia thanks to you,iam now a form 3 dropout,bila papers hakuna wera ya maana naeza pata,na mimi kufika kwenye niko ni kuwa na hope,and maybe,,just maybe ningetoa ball ya Jeff ningemaliza shule poa ju nilikua na sponsors wengi sana wangenisupport but venye walijua nko ball,waliondokea,na ball ilikua yako. Hii nayo,Becky aliongea kwa uchungu sana,in as much she kept the pregnancy,it has costed her alot of things she cod have achieved if she wasnts pregnant while in school,wah! This one,slaps and hurts the deepest.

May God stand with all single mothers,you deserve another chance to make yourselves happy and happy in whatever you do. I love you all.

Hadi kesho,majaliwa.

Do you like my photoβ™₯️β™₯️β™₯️
01/03/2024

Do you like my photoβ™₯️β™₯️β™₯️

Address

Machakos

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Becky citizen tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share