04/03/2025
Jana jioni nikiwa natoka job ๐ (mjengo), niliona acha atleast nipande gari juh imekuwa kitambo tangu nitumie gari ama pikipiki ๐ฅ๐. Nikasimamisha bus ya kwenda home na mungu ni nani, nikapata Kuna kiti free๐ช. Nilikaa, na gari ikaanza kwenda, kando yangu kulikuwa na Dem mmoja mreembo sana. Sasa! nilishindwa vile nitaanza kujiongeza๐ฅ Juh najijua upande wa mistari nayo niko disabled ๐งโ๐ฆฝkiasi, sasa kutumia akili k**a fimbo ya mbali ๐nikaamua kufake call ndo atleast niattract attention yake๐(sema akili ๐ช) "Makumba O victor hapo najua kuchora"... Nikatoa simu (katululu ambako hata hakafinyiki button zote kwanza hii kubwa ya katikati inakaa disabled๐๐ mbaya zaidi haikuwa na kifuniko ๐) Nikaanza fake call "hello mum, phone yangu imejaa ama? Nilijua tu itajaa juh Iphone 14 zote ziko Ivo, Mara mingi nimekuwa nikikukataza nimechoka kutumia BRITISH AIRWAYS juh zinatake long distance kwenda USA ๐. Saii nimeenda nikabook na MALAYSIA AIRLINES ndo next week niende kuona k**a Ile nyumba imemalizwa kujengwa๐...The most important thing wameniambia kuwa watagharamia shipping ya hiyo Mercedes Benz yangu niipate USA ๐.,.Mimi nafeel like vile Niko single , nitaiacha hapa niende kununua PRADO nikifika huko, sawa! sawa! saii hutabelieve niko kwa mat narudi home BMW nimeacha car wash, sawa! sawa mum! bye" kumaliza nikapata Dem ameniangalia nikajijaza " hi dear? are you surprised?๐ฅ ". akaniambia eti " yes Niko surprised juh wakati ulianza kuongea, battery ๐ ya phone ilianguka ndo hiyo chini ya kiti" ๐kuangaliaโโni ukweli simu haina battery....saii nimeshuka Niko huku mwa Abeli chituka gotirimboka ๐๐๐
Kesho yake sasa niliamua kwamba nikimpata nitamwambia ni ile original yenye Iko na internal battery, yenye ilianguka ilikuwa ya emergency ๐๐
Siku iliyofuata mungu na yeye ni nani.... ๐คฃ๐คฃ
Narudi kumalizia story part 2 ๐๐คฉ๐คฃ
Follow me ๐ Inde muinde Paul