16/10/2025
LADIES👉
Wanawake hamjambo.....kosea mwanaume makosa yote lakini usiwahi mkosea yafuatayo
1.Usiwahi peana kipochi kwa mtu mwingine, hicho kipochi ndio kinafanya anakuita mke wangu
2.Usiwahi kosea wazazi wake heshima, linda wazazi wake
3.Usiwahi mdunisha ukimlinganisha na wanaume wengine, siku zote muone bora
4.usimsengenye hata kidogo, ficha aibu zake na upungufu wake.....
Alex's macharia KE ✍️✍️