16/09/2026
CANDLE LIGHTING KESHO KALOLENI MGANDINI KUMKUMBUKA YAKOBOH
Marafiki wa Yakoboh wameandaa Candle Lighting kesho jioni saa moja kasoro (5:00 PM) katika eneo la Kaloleni Mgandini, kumuaga na kumkumbuka Yakoboh aliyefariki katika ajali ya barabarani.
Ajali hiyo ilitokea Mandhari Kilifi usiku wa Septemba 4, baada ya matatu kugongana na lori lililokuwa limesimama. Ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu wawili, Yakoboh na dereva wa matatu.
Wanaohudhuria wameombwa kubeba Sh100 kwa ajili ya kununua mshumaa.
Tujumuike pamoja katika kumkumbuka Yakoboh na kuwaunga mkono familia pamoja na walioguswa na msiba huu.
Pumzika kwa amani Yakoboh.
Clinton Iha Shampuz Media Pwani Gossip Club Pwani Trends