The Malindi Eye

The Malindi Eye Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from The Malindi Eye, News & Media Website, Malindi.
(1)

🌊 Celebrating the heart of the Coast.

📢 Stay informed with the latest breaking news, development updates, and local events across Malindi and the whole country.

📸 Bridging the gap between the people and the news that matters most.

😢💔 TAFADHALI TUMSAIDIE BARAKA 🙏🏼Kuna baadhi ya watu wengine walikuwa wanaomba Baraka awaoneshe sehemu anayotumia kujisai...
26/08/2026

😢💔 TAFADHALI TUMSAIDIE BARAKA 🙏🏼

Kuna baadhi ya watu wengine walikuwa wanaomba Baraka awaoneshe sehemu anayotumia kujisaidia haja kubwa ili waamini zaidi. Baraka hakatai kuwaonesha kabisa, lakini anasema anatamani sana muione. Shida ni kwamba alipokuwa mchanga, alienda kufanyiwa ukarabati kiasi tu ili ule uchafu uweze kutoka nje na usije ukamuumiza huko ndani.

Madaktari walimfanyia utaratibu wa kuutoa utumbo nje ili ule uchafu uwe unamwagika nje wenyewe. Sasa k**a mnavyojua, utumbo haushikani na baridi kabisa 🙅; utumbo unapenda joto tu.

Baraka anasema akifungua pale mahali, huwa anapatwa na maumivu makali sana ambayo yanaweza kumpelekea hata kuvuja damu bila kujijua. 😔

Kwa hiyo Baraka anaomba tumsaidie sana jameni. 🙏🏼😔

Hiki kitambaa alichojifunga ndicho kinamsaidia kukinga baridi na upepo kutoufikia ule utumbo wake ulio nje ya tumbo lake. 😢💔

Ukiwa una swali lolote lile, namba bado ni ile ile ya M-Pesa. Unaweza kupiga ukauliza na pia unaweza kutuma chochote kile ulicho nacho iwapo hali ya Baraka imekugusa. 🫵🏼💞💕

📱 M-Pesa: 0141457082
Jina: ROBERT GARAMA SAFARI

🙏🏼❤️ Tafadhali, kila msaada wako una maana kubwa kwa Baraka.
Cc: Marereni Trends Media

President Ruto to Unveil New Police Uniforms on August 28.
26/08/2026

President Ruto to Unveil New Police Uniforms on August 28.

K**a uko online hebu weka page yako tukufollow teketeke
26/08/2026

K**a uko online hebu weka page yako tukufollow teketeke

Dondoo Magazetini: Silaha fiche ya Sifuna katika kinyang’anyiro cha urais!~ Sifuna aanza kutafuta tiketi ya urais 2027 h...
26/08/2026

Dondoo Magazetini: Silaha fiche ya Sifuna katika kinyang’anyiro cha urais!

~ Sifuna aanza kutafuta tiketi ya urais 2027 huku Linda Mwananchi ikitafuta chama mbadala.

~ Madeni fiche: Serikali ya Ruto yaendelea kukopa kupitia tozo bila uangalizi wa umma.

~ Mauaji katika familia: Mgogoro wa mali wa Sh1.5 bilioni wafichua mzozo mchungu wa kifamilia.

Follow The Malindi Eye for more updates

H.E. Edwin Sifuna today met with young aspirants at Ufungamano House, where he shared his experiences, insights, and les...
25/08/2026

H.E. Edwin Sifuna today met with young aspirants at Ufungamano House, where he shared his experiences, insights, and lessons from his political journey.

Wafariki baada ya kuhudhuria harusini ya mpendwa wao huku Marafa😢😢Wawili hawa wamefariki kwenye ajali iliyofanyika eneo ...
25/08/2026

Wafariki baada ya kuhudhuria harusini ya mpendwa wao huku Marafa😢😢Wawili hawa wamefariki kwenye ajali iliyofanyika eneo la Konza kaunti ya Machakos. Kuweni pole sana kwa familia.

TOA MAONI: Sasa hutahitaji kuwa na masomo kuwania. Bora tu wewe ni Mkenya. Unazungumziaje tangazo la IEBC?Follow The Mal...
25/08/2026

TOA MAONI: Sasa hutahitaji kuwa na masomo kuwania. Bora tu wewe ni Mkenya.

Unazungumziaje tangazo la IEBC?

Follow The Malindi Eye for more updates

Dondoo Magazetini: Ruto afichua siku zake za mwisho na Baba.~ Ruto asimulia mawasiliano yake ya mwisho na Raila kabla ya...
25/08/2026

Dondoo Magazetini: Ruto afichua siku zake za mwisho na Baba.

~ Ruto asimulia mawasiliano yake ya mwisho na Raila kabla ya kifo chake India.

~ Gachagua aachana na uamuzi wa kuwa kingmaker, sasa alenga urais.

~ Ruzuku ya mbolea: Serikali imegawa mifuko milioni 32 katika misimu minne.

24/08/2026

Ex-Reverend Denounces Religion by Tearing His Clothes - Religion Ni Ujinga

DCP in Isiolo
24/08/2026

DCP in Isiolo

Address

Malindi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Malindi Eye posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share