20/09/2026
Huyu jamaa ndo ametuacha baada ya kuugua homa kwa muda mfupi tuu ila anaitwa Dena kutoka lwandani sakina in mjanaheri
Inahuzunisha sana kuona maisha ya kijana k**a huyu kukatika tu angali bado mdogo 😭😭😭😭
Tunatuma rambirambi zetu kwa jamii na marafiki wote waliofikwa na msiba huu 🙏
Rest in peace champion 🏆