DJ CHEA

DJ CHEA Kijiwetanga'z Finest Deejay.
(1)

18/10/2025

Happy follow-versary to my awesome followers. Thanks for all your support! Wiseman Franco, Peninah Nelson, Fransisca Tsetse

SOTE ,TUSEME YESU NI BWANA.
15/10/2025

SOTE ,TUSEME YESU NI BWANA.

SALAMU NI ZA MUNGU, K**A UMEAMKA SSLAMA SALMINI....WEKA LIKE✅️✅️
14/10/2025

SALAMU NI ZA MUNGU, K**A UMEAMKA SSLAMA SALMINI....WEKA LIKE✅️✅️

MTU WA WATU. UKIFA FUNADZA KARE...UCHI NA ACHE
11/10/2025

MTU WA WATU. UKIFA FUNADZA KARE...UCHI NA ACHE

29 looks Good On You Mr.DJ.Happy Birthday Big Man
08/10/2025

29 looks Good On You Mr.DJ.
Happy Birthday Big Man


ALIKUFA PASTOR WAKATUAMBIA TUKESHE KUIMBA NA KUSIFU MUNGU, LEO KAFA MALAYA, WANATUFUKUZA...... SERIKALI SAIDIA JAMII🤣🤣🤣
30/09/2025

ALIKUFA PASTOR WAKATUAMBIA TUKESHE KUIMBA NA KUSIFU MUNGU,

LEO KAFA MALAYA, WANATUFUKUZA...... SERIKALI SAIDIA JAMII🤣🤣🤣

KUTOKA KWETU "THE BARUWA'S FAMILY" MUWE NA USIKU MWEMA.
26/09/2025

KUTOKA KWETU "THE BARUWA'S FAMILY" MUWE NA USIKU MWEMA.

Katika Hatua ya kudhibiti magenge ya Kihalifu ya Vijana (Mawoza) mikakati kabambe inaendelea kuwekwa na asasi za Usalama...
24/09/2025

Katika Hatua ya kudhibiti magenge ya Kihalifu ya Vijana (Mawoza) mikakati kabambe inaendelea kuwekwa na asasi za Usalama.
Miongoni mwa mikakati hiyo ni;.
1. Ni marufuku Disco matanga kaunti Ndogo ya malindi.
2. Harusi na sherehe zozote zifanyike mchana hakuna kukesha.
3. Mwili utolewe siku ya mazishi hakuna kulala na mwili.
4. Michango ya kamba barabarani ni marufuku.
5. Mangwe za Mnazi zifate sheria.

Je unadhani mikakati hii itadhibiti mawoza eneo hili???

GOODMORNING, LETS KEEP SMILING FRIENDS
22/09/2025

GOODMORNING, LETS KEEP SMILING FRIENDS

LEO NI WEEKEND, K**A KAWAIDA KUNA MCHELE MAHALI.TUKO TAKAYE🤣🤣
20/09/2025

LEO NI WEEKEND, K**A KAWAIDA KUNA MCHELE MAHALI.

TUKO TAKAYE🤣🤣

Afueni Ipatikane...Haikuangi Rahisi😥😥😥
19/09/2025

Afueni Ipatikane...Haikuangi Rahisi😥😥😥

Kicheko Dawa... NilikuwepoGOOD MORNING PALS!!
18/09/2025

Kicheko Dawa... Nilikuwepo
GOOD MORNING PALS!!

Address

0796037779
Malindi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ CHEA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DJ CHEA:

Share

Category