16/09/2025
Tegua kitendawili...sikumoja Baharini kulikua na usumbufu,wamaji sana na wavuvi humo,Baharini ndimo kazini hawakusita kwamana wametengemea sana Bahari ndio kula kwao waliamua kuingia na vipimo kwani walikua Dau mmoja wanaingia watu 6 ila waliamua kupunguza 3 ili wabaki wa 3 vipimo hivo vilifanya kazi vizuri kutokana na fujo ya maji ya siku hio ila tahadhari nikua wakiwa Baharini wajichunge kusingie kitu chochote kwa dau kwasababu kukingia kitu,chochote kilo zitaongezeka na fujo ya maji inaezafanya Dau lizame.Walianza safari vizuri sana walivofika katikati ya safari ya uvuvi wao mmoja wao alishutuka kwa usumbufu wamaji yalivokua na fujo yakutisha sana na kwaubaya hakueza kujizuia akachilia haja kubwa je kulifanyika nini bada yakufanya ivo yule mmoja wao...................................................?