1GB Kapolofu

1GB Kapolofu Wanasema naongea sanaπŸ—£ kumbe sauti yangu tamu maskioni mwaoπŸ™‰

30/06/2026

Nikiwa na hela marafiki wananiita boss, nikikosa hata salamu zinakuwa za mbali.

Nilipiga selfie nikatuma kwa ex...  Akanireply "Filter gani umetumia?" πŸ˜‚  Nikamjibu "Filter ya umaskini nimeiondoa tu. S...
20/06/2026

Nilipiga selfie nikatuma kwa ex...
Akanireply "Filter gani umetumia?" πŸ˜‚
Nikamjibu "Filter ya umaskini nimeiondoa tu. Sasa naangaza kwa deni la Fuliza" πŸ’Έβœ¨

Watu wanasema "Glow up"
Mimi nasema "Loan up" 😭🫑

Ukitaka respect anzakujiheshimu,as long as hukuna binaadamu perfect jitahidi uwe 100%   tafuta pesa
19/06/2026

Ukitaka respect anzakujiheshimu,
as long as hukuna binaadamu perfect jitahidi uwe 100%
tafuta pesa

Kumetulia sana ama mashabiki wa Arsenal  wamejinyongaπŸ€£πŸ˜‚  ata Facebook siwaoniKumbe   kibri   uta dhani sio   wa  ,kelele...
31/05/2026

Kumetulia sana ama mashabiki wa Arsenal wamejinyongaπŸ€£πŸ˜‚ ata Facebook siwaoni
Kumbe kibri uta dhani sio wa ,kelele zimema tupatane next

PESA hununua kitanda lakini si usingizi PESA hununua saa lakini si MUDA PESA hununua chakula lakini si hamu ya kulaPESA ...
28/05/2026

PESA hununua kitanda lakini si usingizi
PESA hununua saa lakini si MUDA
PESA hununua chakula lakini si hamu ya kula
PESA hununua nyumba lakini si familia
PESA hununua dawa lakini si UHAIπŸ₯ΊπŸ˜’
Jay Key πŸ˜…πŸ˜…

Jay Key Maisha si majaribio. Furahia leo, jifunze jana, na tembea kwa imani kesho. Amani ya moyo ndio mali kubwa zaidi. ...
26/05/2026

Jay Key Maisha si majaribio. Furahia leo, jifunze jana, na tembea kwa imani kesho. Amani ya moyo ndio mali kubwa zaidi.

Unasubiri msaada k**a mvua ya mwezi wa kumi,  Wengine wanachimba kisima jua kali likichoma.  Unapost "Blessed" kila siku...
18/05/2026

Unasubiri msaada k**a mvua ya mwezi wa kumi,
Wengine wanachimba kisima jua kali likichoma.
Unapost "Blessed" kila siku bila kazi,
Wao wananyamaza... matokeo ndio yanazungumza.

Wecheka sasa, kesho utashangaa ukiona
Wale uliowadharau wamepita mbele yako. πŸ˜‚πŸ‘‘

Baridi na furaha siyo jotooo na hasira.Endelea kutafuta  true love  wangu  key
17/05/2026

Baridi na furaha siyo jotooo na hasira.Endelea kutafuta true love
wangu
key

JANA USIKU: πŸŒ™CEO wa njaa: "Niko sawa... Mungu atatupa" πŸ™πŸ˜ŒTumbo: *GRRRR πŸ”Š* k**a generator ya site πŸ˜‚πŸ’€Ndoto: Kuku choma pek...
15/05/2026

JANA USIKU: πŸŒ™

CEO wa njaa: "Niko sawa... Mungu atatupa" πŸ™πŸ˜Œ
Tumbo: *GRRRR πŸ”Š* k**a generator ya site πŸ˜‚πŸ’€
Ndoto: Kuku choma pekee πŸ—πŸ’­

LEO ASUBUHI: β˜€οΈ

CEO wa njaa: *anapost story na plate ya mbuzi choma* 🐐🍽️
Caption: "Gratitude πŸ™Œβœ¨ Blessed beyond measure ❀️"

Mimi nauliza tu:
Njaa ilienda wapi ghafla? πŸ˜‚πŸ‘€
Au Mungu alileta nyama saa 10 asubuhi? πŸ˜‚πŸ

Watu wa Instagram mnaigiza sana πŸ˜‚πŸŽ­

Mimi fundi site nakula ugali na mboga kimya kimya...
Sijawahi post "Blessed" πŸ˜‚πŸ‘·πŸΎβ€β™‚οΈβŒ

Instagram = Movie 🎬
Maisha = Site πŸ—οΈ

Address

Malindi
Malindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 1GB Kapolofu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share