
18/06/2025
Malindi police station tungewaomba mumtende haki Rose ameshikwa usiku saa tatu baada yakuitwa station akatiwa mbaroni bila sababu kisha ameekwa kwa cell pekeake hadi sasa kwa kitabu cha ob Rose hayuko ila malindi police station imekata pia kupatia rose cash beil baada ya familia kuomba na pia vile vile familia ilinyimwa Ob number inayoonyesha kua alishtakiwa na mtu au watu flani kwasasa bado ako ndani
kindly the officer incharge malindi police station , Independent Policing Oversight Authority - IPOA KENYA Miss Malindi Kenya Hon. Amina Mnyazi - M.P Malindi Kilifi Department of Gender, Culture and Social Services Fikirini Jacobs Malindi Kenya Armany Abdalla Malindi in Kenya Mamasitha Maria Baya Nahum Tattianah Gibson Coast Gossip club Tunawaomba mtembelee hapa asubuhi haki ipatikane
REALESE OR TAKE TO COURT
WHY NOT ON THE OB BOOK??
WHY NO COMPLAINANT?
WHY ARREST A WOMAN WITH A SMALL KID AT NIGHT?
share guys!!!! share!!! to enyone