SOLO KHID MONTE

SOLO KHID MONTE I'm here by being a supportive blogger.. I will go by the demand

KUNA ILE CHALLENGE YA WAZUMGU ILE YAKUSEMA ..GOOD MORNING NEIGHBORS..F**KYOU MY NEIGHBOR..ALAF MIM LEO NAIFANYA N PRETTY...
07/07/2025

KUNA ILE CHALLENGE YA WAZUMGU ILE YAKUSEMA ..
GOOD MORNING NEIGHBORS..
F**KYOU MY NEIGHBOR..
ALAF MIM LEO NAIFANYA N PRETTY BARBIE... SO PRETTY BARBIEEEEE F**KYOU

UKITAKA KUWA TAJIRI ZINGATIA HAYA MAMBO..1.KUWA NA ADABU YA PESA2.AVOID TOO MUCH LENDINGS 3.SAVINGS 4.USITUMIE PESA ZAID...
13/06/2025

UKITAKA KUWA TAJIRI ZINGATIA HAYA MAMBO..
1.KUWA NA ADABU YA PESA
2.AVOID TOO MUCH LENDINGS
3.SAVINGS
4.USITUMIE PESA ZAIDI YA KIPATO CHAKO.
5.ACHANA NA MIKOPO
6. INVEST YOUR MONEY
7.PRAYERS AND GOD FEARING

09/06/2025

500M Followers

30/05/2025

Wabunge wote watanzania wana akili sawa n mtoto mmoja wa CBC apa kenya ..

25/05/2025

MALINDI GENERAL HOSPITAL.. YULE ALIKATAA KUTIBU BROTHER ANGU ALIPOGONGWA N GARI YA KDF AINA YA FATUMA 3DAYS AGO BAADA YAKUPASUKA KICHWA NA WAKASEMA HAWATAMTIBU JU HANA REFERAL LETTER KUTOKA MPEKETONI HOSPITAL IKABIDI AREGESHWE MPEKETONI TENA A 4HRS JOURNEY FROM MLD TO MPEKETONI SIS K**A FAMILIA TUMEKUACHIA MUNGU SII IVI NDIVO ULIKUWA UNATAKA SAWA AMEKUFA XAX ..MUNGU AKUBARIKI

23/05/2025

MBINGUNI LAZIMA TUENDE

23/05/2025

XAII WENYE WANAKUFA NINWENDAWAZIMU .. Alaf kuna pretty barbie amesema she is madly fallen in love namim .. xaii niko malindi funerals apa namchagulia jeneza .. pretty barbie nitumie vipimo vya shoulder n waist alaf unataka jeneza ya tumbo kati ama mgongowazii ..ama lapalazo... let's follow pretty barbie afike 100million follower

A GREAT DAY N SEASON FOR THE ARSENAL AND MAN UNITED
23/05/2025

A GREAT DAY N SEASON FOR THE ARSENAL AND MAN UNITED

MA U NITED YA AMUA KUUZA WACHEZAJI WOTE BAADA YAKUKOSA KIKOMBE
23/05/2025

MA U NITED YA AMUA KUUZA WACHEZAJI WOTE BAADA YAKUKOSA KIKOMBE

Address

Malindi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SOLO KHID MONTE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share