20/06/2026
Mambo ni Julius Mwandoro! 🔥💪
Kazi, maono na kujitolea kwa wananchi vinaongea. Safari ya maendeleo ya Ganda Ward inaendelea, na mwaka 2027 tunaangalia mbele kwa matumaini makubwa.
🚀🇰🇪