Juza

Juza Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juza, Digital creator, Malindi.

YANAYOJIRI 🤣🤣Vijana wanazidi kujishindia Mishangazi yenye pesa zao, inayojua kupenda na kutunza vizuri.Tufollow Juza
28/06/2026

YANAYOJIRI
🤣🤣Vijana wanazidi kujishindia Mishangazi yenye pesa zao, inayojua kupenda na kutunza vizuri.

Tufollow Juza

YANAYOJIRI PESA YA WAJANE.1. Ilikuwa 38 million ijengwe gorofa ikapewa Aisha Jumwa na Rais Ruto, Aisha akapotea nayo. Am...
28/06/2026

YANAYOJIRI
PESA YA WAJANE.
1. Ilikuwa 38 million ijengwe gorofa ikapewa Aisha Jumwa na Rais Ruto, Aisha akapotea nayo. Amesema MATUMBO MCA Watamu na anasema ushahidi anao.
2. Kwenye post yangu limetajwa jina MAMA DADU mara mbili, kuwa huyu anajua PESA ilienda wapi.

SWALA IBUKA.
1. Je kuna PESA ilitolewa kweli na kupewa Aisha Jumwa?
2. Aliyekuwa kiongozi WA WAJANE MDA huo ni Nani?
3. Kiongozi WA sasa WA wajane NI NaNI ju GAVANA Leo amepeana mipango ya HELA ndefu kwa WAJANE.

YANAYOJIRI Rip 😭😭😭Huyu Mwanafunzi wa KMTC ndiye alijitia kitanzi juzi huko Voi, eneo la Mwakingali B. Inahuzunisha sana ...
28/06/2026

YANAYOJIRI
Rip 😭😭😭
Huyu Mwanafunzi wa KMTC ndiye alijitia kitanzi juzi huko Voi, eneo la Mwakingali B. Inahuzunisha sana kuona Vijana wanajichukulia maamuzi ya haraka😥, maana alikuwa na ndoto ila ghalfa zimezimika. Mungu ailaze roho yake pema peponi. Tutatuma rambirambi kwa Familia na Marafiki.

Tufollow Juza

YANAYOJIRI Rip 😭😭😭Huyu Jamaa ndiye amepoteza maisha yake huko Watamu baada ya kuanguka ghafla kutokana na kifafa. Ila an...
28/06/2026

YANAYOJIRI
Rip 😭😭😭
Huyu Jamaa ndiye amepoteza maisha yake huko Watamu baada ya kuanguka ghafla kutokana na kifafa. Ila anaitwa Safari Mawedo kutoka Turtle Baya, inasikitisha sana Mungu alitupa na tena amechuku acha ailaze roho yake.
Tunatuma rambirambi kwa Familia ya kwa Mweni mpate faraja huu wakati mgumu.

Tufollow Juza

YANAYOJIRIHABARI ZA HIVI PUNDE:Baraka Chula aliyetembea kwa miguu kutoka Malindi hadi Nairobi anadaiwa amekamatwa leo mc...
28/06/2026

YANAYOJIRI
HABARI ZA HIVI PUNDE:
Baraka Chula aliyetembea kwa miguu kutoka Malindi hadi Nairobi anadaiwa amekamatwa leo mchana na Watu wasiojulikana huko kwao😥. Ila baada ya ufuatiliaji mkubwa wa Familia yake, imebainika kuwa ameshikiliwa katika Kituo cha Posili cha Gongoni.
Na anatuhumiwa kwa madai ya kumrukia Gavana miezi michache iliyopita. Kwa sasa yuko mbaroni akisubiri kufikishwa mahakamani siku ya Jumatatu.
Tunalani vikali kitendo hiki cha uonevu na ukandamizaji. Huu ni ukiukwaji wa haki na tunadai haki itendeke haraka iwezekanavyo.

Tufollow Juza

YANAYOJIRI Rip 😭😭😭Huyu Mvuvi ndiye mwili wake umepatikana huko Kipini in Tanariver baada ya kuzama baharini siku ya juma...
28/06/2026

YANAYOJIRI
Rip 😭😭😭
Huyu Mvuvi ndiye mwili wake umepatikana huko Kipini in Tanariver baada ya kuzama baharini siku ya jumapili na wenzake watatu huko Malindi😥. Ila anitwa Rama Khonde kutoka Matsangoni mkongani, acha Mungu ailaze roho yake pema peponi.

Tufollow Juza

16/06/2026

I got over 1,450 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

YANAYOJIRI Super Petrol itauzwa shilingi 214.03, Diesel shilingi 222.86 na mafuta taa yatauzwa shilingi 191.38 kwa lita....
14/06/2026

YANAYOJIRI
Super Petrol itauzwa shilingi 214.03, Diesel shilingi 222.86 na mafuta taa yatauzwa shilingi 191.38 kwa lita.
Tufollow Juza

Address

Malindi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share