
29/09/2025
Na Vijana let me tell you ukitaka kugive up kumbuka that unaweza struggle for 5 years alafu suddenly mambo inawork out and you achieve more in 1 month than you ever did in those 5 years. So wewe piga hustle yako , endelea kujituma ipo siku itajipa and you will be greatful haukugive up kabisaa