Jaymi the dot

Jaymi the dot p/blog
(5)

Your parents sent you to school to study not to date your classmates Hey cousin's hope u good wherever you are
30/07/2025

Your parents sent you to school to study not to date your classmates
Hey cousin's hope u good wherever you are

25/07/2025

Sikatai kuna baridi.. wanaume lakini mwangalie vitu mnapeleka kwa nyumba 😂👌

Heri wewe uliambiwa it's overMimi amenivideo call na mtu wake wakaanza kunichekelea Mlale poa acha nilie kwanza
14/07/2025

Heri wewe uliambiwa it's over
Mimi amenivideo call na mtu wake wakaanza kunichekelea
Mlale poa acha nilie kwanza

10/07/2025

From wheelbarrow to wheelchair enyewe ni wheeliam

Nauliza hili swali kwa mara yaYa mwisho jameni Kuku tumweke DANIA ama tusimweke..... Hatutaki confusion 🙄🙄
09/07/2025

Nauliza hili swali kwa mara ya
Ya mwisho jameni
Kuku tumweke DANIA ama tusimweke..... Hatutaki confusion 🙄🙄

Ubaya mnafikiria niko na mtu na sina
08/07/2025

Ubaya mnafikiria niko na mtu na sina

07/07/2025

Uhuru highway unaeza dhani makarao wanapigana na bandits ama terrorists yaani the government is scared of its citizens

Nimewamiss hebu nisalimieni kwa lugha ya kwenu tujuane
07/07/2025

Nimewamiss hebu nisalimieni kwa lugha ya kwenu tujuane

gòdd morning cousînsNi friday msisahau kubeba chârger na swèatèr
04/07/2025

gòdd morning cousîns
Ni friday msisahau kubeba chârger na swèatèr

Alafu kuna wee na kuna mimi Mbona ukae single Doshi ni wewe na chuma ni mimi
01/07/2025

Alafu kuna wee na kuna mimi
Mbona ukae single
Doshi ni wewe na chuma ni mimi

Simu yangu imepasuka screen Uku ni tiktok ama whatsapp 🙄🙄
26/06/2025

Simu yangu imepasuka screen
Uku ni tiktok ama whatsapp 🙄🙄

Na mvae smart kesho tutaonekana kwa CNN,BBC,Aljazeera na dunia mzima
24/06/2025

Na mvae smart kesho tutaonekana kwa CNN,BBC,Aljazeera na dunia mzima

Address

Nairobi

Telephone

+254799517583

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jaymi the dot posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share