
07/08/2025
"Sasa nimefanya mpango mtapata pikipiki ya 95K kutoka 190k. Deposit hamtaeka 70k tena, deposit unaeka 9,500. Malipo ya kila siku haitakuwa 500, itakuwa 180. Pia naenda bunge nitoe ushuru, hiyo pikipiki ifike k**a less another 10k.Nataka mwananchi wa kawaida akuwe na uwezo wa kununua pikipiki."
President Ruto tells bodaboda riders at Statehouse.