Radio Ashe-Kenya

Radio Ashe-Kenya Radio Ashe is the GOLD WINNER – CA KUZA AWARDS 2023 in the Creatives category .

Radio Ashe is a Christian Radio station broadcasting from Maralal town, Samburu County to the communities living in the Central Rift ,North Rift and Northern Kenya.

Kumbukumbu la Torati 31:8 Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; u...
11/12/2025

Kumbukumbu la Torati 31:8
Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.

Karibu tena siku ya leo tufanye kazi tukiendelea na sifa kwa Mungu kwenye mpango mzima ukiwa nami Omotto karibisha wanaofanyakazi bila kukata tamaa kupitia
Calls 0712000014
Sms 0712040010

Yeremia 32:17 Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa;...
11/12/2025

Yeremia 32:17
Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza

Kumekucha Mpendwa wa Mungu! Amka tulijenge taifa! Karibu kwenye ukiwa nami Jonathan Tinga Papaa Jt. Unasikiliza ukiwa wapi? Rausha na mwingine tubarikiwe sote.
Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:

Mazungumzo kuhusu haki ya mtoto yanaendelea, je una swali lolote kwa wageni wetu?Mazungumzo ni kwa hisani ya World Visio...
10/12/2025

Mazungumzo kuhusu haki ya mtoto yanaendelea, je una swali lolote kwa wageni wetu?

Mazungumzo ni kwa hisani ya World Vision Kenya

📢 CHEMICHEMI YA UZIMA –  Tunapoadhimisha World Human Rights Day, tumekuandalia mjadala maalum kuhusu Haki za Mtoto. Tuko...
10/12/2025

📢 CHEMICHEMI YA UZIMA –
Tunapoadhimisha World Human Rights Day, tumekuandalia mjadala maalum kuhusu Haki za Mtoto. Tuko na wadau mbalimbali uko na swali kwa wageni wetu?
Call:0712000014. Sms:0712040010

Mazungumzo ni kwa hisani ya shirika la World Vision Kenya

Ni Siku Nyingine Bwana Ametukirimia Kukutana Nawe Msikilizaji Wangu Hujambo Na Karibu Tubarikiwe Na Tunayakue Baraka Za ...
10/12/2025

Ni Siku Nyingine Bwana Ametukirimia Kukutana Nawe Msikilizaji Wangu Hujambo Na Karibu Tubarikiwe Na Tunayakue Baraka Za Jioni Ndani Ukiwa Nami Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio Garden

Methali 24:17-18 BHNUsishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake, maana Mwenyezi-Mungu ao...
10/12/2025

Methali 24:17-18 BHN

Usishangilie kuanguka kwa adui yako; usifurahie moyoni mwako kujikwaa kwake, maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu.
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Bwana Yesu Asifiwe, Jumatano nyingine ya baraka, je? umeshinda salama? karibu katika kipindi cha nami Faith Nzai nikiwa nahodha wako, unasafiri na nani?
call 0712000014 sms 0712040010 Online- www.radioashe.org

NenoLitaendelea      Naam msikilizaji, Za mchana? karibu katika kipindi   Naye Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo. Kipin...
10/12/2025

NenoLitaendelea
Naam msikilizaji, Za mchana? karibu katika kipindi Naye Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo. Kipindi hiki kinakufunza vitabu vya Biblia kwa undani kabisa kimoja baada ya kingine

Warumi 8:37 Lakini katika mambo hayo yote sisi ni zaidi ya washindi, kupitia kwake yeye aliyetupenda.Tunakutana tena kwa...
10/12/2025

Warumi 8:37
Lakini katika mambo hayo yote sisi ni zaidi ya washindi, kupitia kwake yeye aliyetupenda.

Tunakutana tena kwa mapenzi yake Mungu kuendelea na kazi tukimshukuru Mungu hapa nami Omotto tuhimizane kupitia
Calls 0712000014
Sms 0712040010

Kumekucha Mpendwa wa Mungu! Amka tulijenge taifa! Karibu kwenye   ukiwa nami   Jonathan Tinga Papaa Jt. Unasikiliza ukiw...
10/12/2025

Kumekucha Mpendwa wa Mungu! Amka tulijenge taifa! Karibu kwenye ukiwa nami Jonathan Tinga Papaa Jt. Unasikiliza ukiwa wapi? Rausha na mwingine tubarikiwe sote.
Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG:

📢 CHEMICHEMI YA UZIMA –   LIVEMazungumzo ya moja kwa moja ndani ya kipindi  Chemichemi ya Uzima tukijikita kwenye Siku 1...
09/12/2025

📢 CHEMICHEMI YA UZIMA – LIVE
Mazungumzo ya moja kwa moja ndani ya kipindi Chemichemi ya Uzima tukijikita kwenye Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kidijitali na Uzuiaji wa GBV.
Kwa hisani ya shirika la

Kwenye awamu ya pili ya   tunaangazia dhulma za kijinsia zinazotekelezwa kwa njia ya mtandao kwa hisani ya shirika la  ,...
09/12/2025

Kwenye awamu ya pili ya tunaangazia dhulma za kijinsia zinazotekelezwa kwa njia ya mtandao kwa hisani ya shirika la , Swali lako ni lipi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10

  4:8 Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, eny...
09/12/2025

4:8 Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.

Je,Uu Hali Gani Sahibu Wangu? Karibu Tunyakue Mibaraka Za Jioni Ndani Ukiwa Na Leleina Daniel Sema Nami Kupitia:Call:0712 00 00 14 Sms:0712 04 00 10 X/IG: Listen Live:www.radioashe.org or use APP: Radio Garden.

Address

Milimani
Maralal

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Ashe-Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Ashe-Kenya:

Share