20/03/2026
Waislamu wamejumuika kwa wingi katika swala ya Eid al-Fitr katika viwanja vya Mariakani Secondary School, kuadhimisha mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada na mshikamano.
Eid Mubarak