Pwani Media Network - Sauti Ya Pwani

Pwani Media Network - Sauti Ya Pwani Mombasa, Kwale, Kilifi, Lamu and Taita Taveta,(News, Culture, and Development of the Coast.)

Baadhi ya viongozi wa upinzani wamepongeza wakazi wa Ol Kalou kwa uchaguzi wa Mbunge mteule, Sammy Douglas Kamau Waweru,...
17/07/2026

Baadhi ya viongozi wa upinzani wamepongeza wakazi wa Ol Kalou kwa uchaguzi wa Mbunge mteule, Sammy Douglas Kamau Waweru, wakisema matokeo hayo yanaakisi matakwa ya wananchi. Wakizungumza baada ya uchaguzi huo, viongozi hao walisema ushindi wa Waweru ni ishara ya sauti ya wananchi na walitoa shukrani kwa wapigakura wa Ol Kalou kwa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia. Aidha, walikutana na wakazi wa Wadi ya Rurii, wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana na wananchi katika kujenga mustakabali wa taifa.

Serikali ya Kaunti ya Mombasa na Serikali ya Kitaifa zimeimarisha ushirikiano katika juhudi za kutatua migogoro ya ardhi...
17/07/2026

Serikali ya Kaunti ya Mombasa na Serikali ya Kitaifa zimeimarisha ushirikiano katika juhudi za kutatua migogoro ya ardhi inayowakumba wakazi wa Kisauni. Kupitia mpango huo, serikali zote mbili zinaendelea kununua maeneo yanayostahili ili kuwezesha utoaji wa hati miliki kwa familia ambazo zimeishi katika ardhi hiyo kwa vizazi vingi bila umiliki rasmi. Viongozi wamesema hatua hiyo inalenga kurekebisha dhuluma za kihistoria, kurejesha haki za wananchi na kuharakisha maendeleo katika eneo la Pwani. Kauli hizo zilitolewa wakati wa kongamano la elimu ya uraia lililofanyika Magongoni, Kisauni, lililohudhuriwa na mawaziri Ali Hassan Joho na Salim Mvurya pamoja na viongozi wengine wa eneo hilo.

Governor Mungaro: "Today, alongside ODM Deputy Party Leader H.E. Abdulswamad Shariff Nassir, Cabinet Secretary for Minin...
15/07/2026

Governor Mungaro: "Today, alongside ODM Deputy Party Leader H.E. Abdulswamad Shariff Nassir, Cabinet Secretary for Mining, Blue Economy and Maritime Affairs Hon. Ali Hassan Joho, and Principal Secretary for Youth Affairs and Creative Economy Hon. Fikirini Jacobs, we met the ODM Kwale County Coordinating Committee to strengthen our grassroots movement and chart the way forward for our party.

The strength of ODM remains its people."

Nikuoga na Kurudi soko!!!
11/07/2026

Nikuoga na Kurudi soko!!!

11/07/2026

Good morning

20/06/2026

The embarrassment to at Vurugu 2, as the crowd chant 1 tam

20/06/2026

We can't complain about the same issue, day in day out! Something has to be done!

20/06/2026

A wake call to parents and leaders in our community let's cub this issue of drug abuse before it's late...
Pwani_Gossip_Club
Pwani Gossip Club

Hivi ni Kweli?
19/06/2026

Hivi ni Kweli?

Address

Mariakani

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwani Media Network - Sauti Ya Pwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share