09/08/2024
Jana😇 ndio nilijua hii kimbelembele yangu itaniharibia CV🤗.Sasa jana Kuna wedding ingine hapo niliattend🙂.Time ya kukula ilipokaribia💪 nikaenda kuketi karibu na dem kengine kasupa🙍 wah!
Nikaji introduce naitwa peetah 🤗 kutoka 016, akasema anaitwa Mueni🤓 kutoka Makueni.
M.C. aka announce time ya food🏋 imefika, so watu wapange line ya food😊. Mimi na ujinga wangu nikajifanya🤕 sijasikia na saizo niko na njaa kibao. Sikuwa nataka kujichomea kwa huyo dem💁, so nika relax tu🙂🙂. Nikakaa nikimkatia😀😀 na pia nikiomba kiroho🤐aende apange line ya food ili nimfuate pia mimi lakini wapi🙄? Mtoto wa wenyewe akabaki ameketi🤒🤒.
Sasa vile nimeendelea kujifanya sisikii njaa😐, boy mwingine hapo mtall🕴akacome from nowhere hadi place tulikuwa tumekaa, akapea huyo dem Sahani😬iko na food. Nikasikia kulia😭 nikauliza huyo dem🤔eti huyo boy ni nani kwake. Akanishow ni chali yake😱😱.
Nikakasirika😖 nikaenda kupanga line ya food. Juu hiyo laini ilikuwa ndefu, nikapita hadi nikafika mbele😜😜. Kufika mbele WOI😲😲?! Nikapata sahani zimeisha na ninaumwa na njaa walahi😤. Ndio nikaona kwa kona fulani watu wakichukua sahani😦 zishatumiwa. But kuenda kuchukua nikapata zimeisha😢😢 uuuuui!
Kwa bahati nzuri nikaona kaboy kengine kakikam na plates mob zenye zishatumiwa🤑, nikajinyakulia moja waaaah, but Kufika karibu na food nikapata food yote imeisha😡.
Nikajisikilia huruma😕. Before niende kuketi, nikaona kisahani kamefunikwa hapo chini ya Meza za food😁. Nikapimia kwanza nikaona hakuna mzee ananiangalia😀. Nikainama na kuchukua🤓. Hiyo plate Ilikuwa na food imekuliwa nusu, halafu ilikuwa na nyama kaa zote😋.
Nikachapa survey😷😷 tena ndio niende kuketi but kuangalia place kiti yangu ilikuwa😝, nikaona Kale dem kamecheka yake yote hadi karibu aanguke😌. Kumbe alikuwa ananipimia tu😳. Nikakasirika😖😖 sana na nikaanza kukula😜 hizo nyama but kuangalia juu nikapata camera zote zinanimulika😫! Nikafaint😂😂😂😂.
🚶 🚶 .