
27/05/2025
UKITAKA MWANAUME ATULIE NA WEWE.
1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka
2.Mheshimu.
3.mpe yote kitandani
4.usimufokee
5.usiwe mropokaji
6.mpikie chakula kitamu
7. Uwe msafi
8. Usiwahi shika simu yake.
9.heshimu wazazi wake.
10. Be a supportive wife.
11. Kuwa mwanamke asiye omba pesa ovyo ovyo.
Follow Ërīçõh Wïzy k**a Kuna kitu nimesahau nikumbushe