12/02/2024
Nandy anauanza mwaka na collabo heavy! Speaker zangu zimetii amri ya mdundo wa ngoma hii. Naiona ikifanya vyema kote, mtandaoni, mtaani, mainstream na kwenye clubs. Kali sana. Lets all Pull Up! ๐ฅ๐บ๐ถ