
18/04/2025
🫵JIONI HII NIKUACHE NA NENO HILI.
Mungu hakuhangaika kumzuia Sauli asimtese Daudi, bali alihangaika kumzuia Sauli asimdhuru Daudi.
Hakumzuia Daniel asitumbukizwe kwenye shimo la Simba bali aliwageuza Simba kuwa rafiki zake.
Hata wewe Mungu hatazuia maadui wasikufuate bali atakulinda maadui wasikushinde.
Happy Easter