
07/08/2025
imeamua kusikiliza kilio cha watumiaji wake kwa miaka mingi kwa kutambulisha rasmi kipengele cha Repost. Kipengele hiki kitawawezesha watumiaji kuposti tena (reshare) picha au video kutoka kwa wengine moja kwa moja kwenye feed zao bila kutumia apps za nje k**a ilivyokuwa hapo mwanzo.
Repost hizo zitakuwa na sehemu maalum kwenye profile ya mtumiaji, zikitofautishwa na post zake binafsi, na zitaonesha ni nani aliyeziposti na lini. Hii inaleta uwazi na heshima kwa wamiliki wa maudhui ya awali.
inalenga kurahisisha usambazaji wa maudhui, hasa kwa content creators na wafuasi wa kampeni mbalimbali, huku ikidhibiti wizi wa kazi za ubunifu.
Kwa mara ya kwanza, unaweza kushea unachopenda bila kupiga screenshot, bila ku-copy link, bila ku-download! Hii ni hatua kubwa kwa Instagram katika kuendana na ushindani wa mitandao k**a X na TikTok
SABA TV
POWERED BY
The Queen's Styles Ltd &
Welcome...✍🏻/