Fram Poeta Poetry

Siri, kupenda kitu unafanya kwa kumiliki utulivu   on YouTube       Fram Poeta Poetry Mpuria Junior Pinches Underrated ©...
25/09/2025

Siri, kupenda kitu unafanya kwa kumiliki utulivu

on YouTube





Fram Poeta Poetry
Mpuria Junior
Pinches Underrated

©® POETA MEDIA KE 2025

25/09/2025
22/07/2025

Part 3 Digging Deep

22/07/2025

Part 2 Digging Deep

22/07/2025

Part 1 Digging Deep

28/09/2024

Big shout-out to my newest top fans! Mistar Fram

18/09/2024

Uvukapo mto hadi pande nyingine taunganishwa na daraja ili kuvukia salama hitaji la kila atakaye kuvuka kuFANIKISHA shughuli au hiTAJI

Ki ufupi baada pita pita na saka saka zake bila shaka hapo Bilo lifanikiwa kuwasiliana na Lizzah kisha wakaanza kufahamiana japo kwa kiduchu hivi.

Muda livyosonga siku baada ya siku walianza kujenga uhusiano wao k**a marafiki kikawaida. Lizzah likuwa akisoma chuoni pili Bilo hakuwa shida na hilo kwa kuwa ana uelewa.

Uelewa huu ndio limfanya kujitambulisha kwa mrembo Lizzah aliyemiliki umbo safi mali ghafi kupitia picha zake mtandaoni. Yote haya asimulia Bilo mwenye kwa Mbogi.

Mwaka hivi wakapatana kwake Lizzah wakawa na muda wa kubadilishana FIKRA. Mambo yakawa yaenda pole pole siku hiyo ya kwanza. Tabasamu ziliwajaa usoni kila mmoja.
........... Itaendelea

©® Mpuria Junior

05/09/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Harriet Sonnie, Jackline Nkirote Kiria

Address

Miomponi
Meru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fram Poeta Poetry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Fram Poeta Poetry:

Share