Brêñ Brêñdä

Brêñ Brêñdä Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Brêñ Brêñdä, Meru.
(7)

Am brêñdä 🙍 meru girl 💃
God fearing 🙏
Doing PG promotion 🤑
+ ve vibes only 😜
DM for B's promotion
for pge promo 100ksh(bei ya kuongea)
🤞🤞
TIKTOK @ brenda.offcial ..

unashangaa mbona unasahau vitu haraka,kumbe ni zile rubber ulikula ukiwa pry school zinafuta😂😂😂good morning 🥰  Brenda Of...
12/08/2025

unashangaa mbona unasahau vitu haraka,kumbe ni zile rubber ulikula ukiwa pry school zinafuta😂😂😂
good morning 🥰

Brenda Offcial

enyewe nimezeeka naona boi fulani tulisoma na yeye primary school ashakuwa sub-cheif😂😂good evening 🥰  Brenda Offcial
11/08/2025

enyewe nimezeeka naona boi fulani tulisoma na yeye primary school ashakuwa sub-cheif😂😂
good evening 🥰

Brenda Offcial

Jana haukuambiwa goodnight, leo haujaambiwa goodmorning ooh and guess what.................?Pia goodnight ya leo hautaam...
11/08/2025

Jana haukuambiwa goodnight, leo haujaambiwa goodmorning ooh and guess what.................?Pia goodnight ya leo hautaambiwa😁💔..usijali Niko hapa kwa ajili yako
Good morning 🥰🥰
Brenda Offcial

haloo👋 kumi na inne✊supuu🥰 Brenda Offcial
09/08/2025

haloo👋 kumi na inne✊supuu🥰

Brenda Offcial

You might think men are everywhere until you need a husband , very rare🥰  Brenda Offcial Brêñ Brêñdä
09/08/2025

You might think men are everywhere until you need a husband , very rare🥰


Brenda Offcial
Brêñ Brêñdä

02/08/2025

good morning.. Kwan mko heaven side gani juu siwaoni ama karumbeta haikupiwa😂😂🤣

Kenyan killing a cockroach"kujaa hapa unatoroka unaenda wapi! paah! paah! Toka hapo umejificha paah! paah paaah! kufa ka...
29/07/2025

Kenyan killing a cockroach"kujaa hapa unatoroka unaenda wapi! paah! paah! Toka hapo umejificha paah! paah paaah! kufa kabisa paaah! paah! Toka inje sasa😂😂😂😂

hakuna baridi ni nyinyi mnapenda tabia mbaya😂😂good evening 🥰  Brêñ Brêñdä Brenda Offcial
27/07/2025

hakuna baridi ni nyinyi mnapenda tabia mbaya😂😂
good evening 🥰

Brêñ Brêñdä
Brenda Offcial

masaa ni ya kanisahappy and blessed Sunday 🙏 Brêñ Brêñdä Brenda Offcial
27/07/2025

masaa ni ya kanisa
happy and blessed Sunday 🙏
Brêñ Brêñdä
Brenda Offcial

23/07/2025

Simu ya mwanaume haifai kuwa na camera,wanaume wenzako wakipigwa risasi na wewe hapo unapigwa picha😂😂😂😂

K**a unaniona niambie good night 🥰🛌
22/07/2025

K**a unaniona niambie good night 🥰🛌

Address

Meru

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brêñ Brêñdä posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share