Dj Maroso 254

Dj Maroso 254 Public figure
Professional dj
Content creator

Kazini kuna changamoto,nyumbani shida ndio ilitutoa sasa kujituma na kujiamini ndio nguzo
02/09/2025

Kazini kuna changamoto,nyumbani shida ndio ilitutoa sasa kujituma na kujiamini ndio nguzo

Ongea na uishi na watu vizuri,hakuna anayejua kesho yake.Kijana ya serikali.
30/08/2025

Ongea na uishi na watu vizuri,hakuna anayejua kesho yake.
Kijana ya serikali.

Why is this girl trending?
29/08/2025

Why is this girl trending?

Ningetag designer but hajalipia hiiBrand inagrow.
29/08/2025

Ningetag designer but hajalipia hii
Brand inagrow.

Mtoto wa mtaani lakini luku ya jijini.Huyu ni wa CBC.Kila la kheri mwana.
29/08/2025

Mtoto wa mtaani lakini luku ya jijini.
Huyu ni wa CBC.
Kila la kheri mwana.

Ngoja waendelee kukuongea vibaya,na wewe endelea kutia bidii kwa kila unachokifanya halafu matokeo yatawashtua.Kijana ya...
28/08/2025

Ngoja waendelee kukuongea vibaya,na wewe endelea kutia bidii kwa kila unachokifanya halafu matokeo yatawashtua.
Kijana ya serikali

Hawa wanafaa kunyimwa likes.Ngoja tuone wangapi watawanyima
28/08/2025

Hawa wanafaa kunyimwa likes.
Ngoja tuone wangapi watawanyima

Sasa huu ni mmea gani?
28/08/2025

Sasa huu ni mmea gani?

This Sunday,come experience  hype from the Boyz as we celebrate Diana's Birthday
19/08/2025

This Sunday,come experience hype from the Boyz as we celebrate Diana's Birthday

Inauma sana kupoteza kijana katika harakati za kutafuta riziki.Mtu mmoja afariki dunia baada ya mgodi alimokuwa akifanya...
19/08/2025

Inauma sana kupoteza kijana katika harakati za kutafuta riziki.
Mtu mmoja afariki dunia baada ya mgodi alimokuwa akifanya kazi kuporomoka Sehemu za Kehancha karibu na shule ya msingi KEHANCHA.
Watu wengine wawili wameokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu.

Wakikudharau,piga moyo konde endelea na mwendo wako. Face direction moja kisha ongeza speed kiasi.IPO SIKUKijana ni ya s...
19/08/2025

Wakikudharau,piga moyo konde endelea na mwendo wako.
Face direction moja kisha ongeza speed kiasi.
IPO SIKU
Kijana ni ya serikali

Address

Migori

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Maroso 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Maroso 254:

Share