21/06/2025
Wanaume hapa kuna kibarua. Soma kwa makini..
Hivi kwa mfano. Mvamiwe kwa nyumba na majambazi mkiwa wawili, wewe na mpendwa wako ama bibi yako, hao majambazi wachukue bunduki wakupee wewe mwanaume wakambie π Ukiua huyu mke wako wewe utabaki ukiwa hai hatutakuua utaendelea kuisha na utaoa mke mwingine muendelee na yeye π wewe k**a mwanaume uanze kusema π Mimi siezi ua huyu mpendwa wangu nampenda sababu ndiye anafanya hadi waleo napumua π€Majambazi waseme ooh, huyu mpendwa wako ndiye anafanya hadi waleo unapumua π useme yah. Haya wakutoe bunduki, wapatie huyo mpendwa wako, wamwambie hivi, ukipiga huyu mmeo risasi utabaki wewe ukiwa hai na utapata mwanaume mwingine ambae mtaishi nae tena kwa amani k**a vile mulikuwa mnaishi na huyu wako π Mwanamke ashike bunduki π€ Aweke risasi kwa laini ambayo inatakikana π Akuwekee kwa kichwa π Apige puuu! Kumbe ile bunduki haikuwa na risasi yoyote uko ndani π Majambazi wawambie. Sisi tulikua tunapita hatukua na ubaya wowote nivile tulikua tunawapima tuone k**a mnapendana ππ Haya sisi tumeenda, waache wao waende ivo ππ Swali yangu ni,,, Hivi unaeza samehea huyo mke wako ama huyo mpendwa wako ππ Na kumbuka k**a risasi lingekuwa ndani ya bunduki ingekua mambo ni mengine yanaongelewa ππππ
Follow Busunkwi Junior for follow back.