
24/10/2025
Hii mashinda iko kwenyu wazazi?
1. Unabuyia mtoi nguo mob lakini anachoose kuvaa hizi buggy clothes pekee🤣🤣
2.unambuyia viatu lakini anavaa crocks pekee na anakushow i dont want this kind of shoes, I want crocks🤣
2.unamshow kuna place unataka mkatembee anasema, "no, I dont feel like going there, I want to stay home with my friends "
Ticha Monica hii age iko ivo au ni kwangu pekee?😀🙄, sasa k**a hii ni style gani ya picha surely?🤣 sisi tukiwa wadogo we couldn't dare this🤭