W KINJO

W KINJO Welcome to this official page🙏 football commentator and analyst ,Moto unawaka🔥🔥follow follow na ukinifollow I follow you immediately

20/05/2026

CONGRATULATIONS ARSENAL.

EPL Champions of 2025/26

11/05/2026

Mungu alisema ni yako ni yako tu hata wachawi waroge aje😄😄😄Nway congratulations Wana Arsenal

05/05/2026

hapa nayo wana arsenal mmenishinda sisemi kitu

29/04/2026

Kusema ukweli Arsenal wanacheza mpira mzuri na Odegaard/Saka ni bora, bila uongo. Lakini ubingwa huamuliwa kwa vitu vidogo vidogo.

City wana Haaland, Rodri, na hiyo roho ya ushindi baada ya kuchukua mataji 4 kati ya 5 miaka iliyopita. Kiungo cha Arsenal hupotea kwenye game kubwa za ugenini, na mechi za City ziko rahisi zaidi kwenye karatasi.

Lazima niwape City — wanawaka moto inapohitajika. Arsenal wako karibu, lakini bado hawajafika level ya City.

Ukweli ama si ukweli?

19/02/2026

Wana Arsenal hoyeee!Mnataka kusema mtabeba league next season! Pole lakini sisi k**a Citizens tunakuja na tutabeba tens!

Address

Moi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when W KINJO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share