BONGO MEDIA 254

BONGO MEDIA 254 ✅.Digital creator
✅.Support music
✅.Active all time
✅.Education
✅.Contact texte message

JUX Sura mpya ya mwamba juma JUX💚💚
01/09/2025

JUX

Sura mpya ya mwamba juma JUX💚💚

ZUCHU kwa muonekano mwengine 💚💚
31/08/2025

ZUCHU

kwa muonekano mwengine 💚💚

DIAMOND PLATNUMZ Simba akiwa na mama yake mzazi💚
29/08/2025

DIAMOND PLATNUMZ

Simba akiwa na mama yake mzazi💚

27/08/2025

ROMA X STAMINA

ivi Abdul nani ? Ngoma iyi inauzito mkubwa 🔥🔥🔥

ROMA FT STAMINA amekuja na jabali mpya kalitowa mbali ,linaitwa   umeisikia iyo Ngoma umeipa asilimia ngapi ,basata bado...
26/08/2025

ROMA FT STAMINA

amekuja na jabali mpya kalitowa mbali ,linaitwa

umeisikia iyo Ngoma umeipa asilimia ngapi ,basata bado awajafunga sikieni kwa araka jamani ,alafu ipe % ngapi💚💚

HARMONIZE kwa 2025 kwakweli atujuwi amepatwa nanini ,anaimba ndio Tena nyimbo zina lenga kwenda kimataifa ndio manaa ana...
26/08/2025

HARMONIZE

kwa 2025 kwakweli atujuwi amepatwa nanini ,anaimba ndio Tena nyimbo zina lenga kwenda kimataifa ndio manaa anaimba kingereza kwenye nyimbo zake ,ila akuna hit ata Moja ,chaajabu nyimbo k**a AMANDA yake zuchu wazungu wanaruka nayo vibaya uko ulaya nani audio ,ivi mwamba mma konde ahoni vile wenzie wanaona vitu watu wanataka adha yeye ataki kwenda kimataifa najiuliza sipati majibu

Acha nimpe mashauri ,kuimba kingera sio ndio kwenda kimataifa ,mziki unaenda nasoko TU je watu unao walenga wanapenda nini asa ,pia aina ya kuimba ndio nguzo ya msanii💚💚👆

DIAMOND PLATNUMZ sura mpya kbs ,bado uko USA Simba anatamba kwenye album ya Ciara Ngoma inaitwa   diamond platinumz apa ...
26/08/2025

DIAMOND PLATNUMZ

sura mpya kbs ,bado uko USA Simba anatamba kwenye album ya Ciara Ngoma inaitwa diamond platinumz apa nchini aana wakulinganisha naye,nawatu waache kushusha eshima yake ,nimtu ana peperusha bendera apa nchini ni diamond platinumz na rayvanny pekee 💚💚💚 wengine wanaimba tu ili wapate mlo

RAYVANNY mama tetema remix video inakimbiza vibaya uko YouTube, 66.5MILLION VIEWERS tuipe miezi miwili autatu inafumga n...
25/08/2025

RAYVANNY

mama tetema remix video inakimbiza vibaya uko YouTube, 66.5MILLION VIEWERS tuipe miezi miwili autatu inafumga nyimbo zote apa chini zilizotelewaga nazikakimbiza🔥🔥🔥

DIAMOND PLATNUMZ amemuamdikia mbosso awe makini kwa kutambuwa adui nawanafiki .je unafikiriaje maneno kwa Simba alivyo m...
24/08/2025

DIAMOND PLATNUMZ

amemuamdikia mbosso awe makini kwa kutambuwa adui nawanafiki .

je unafikiriaje maneno kwa Simba alivyo muandikia mbosso ,amepatia ?

💚💚💚

MBOSSO Leo tumeona tuje naukweli wa mambo kulingana na mambo yanaleta mtafaruko mitandaoni ,Leo media nyingi zinaguswa n...
22/08/2025

MBOSSO

Leo tumeona tuje naukweli wa mambo kulingana na mambo yanaleta mtafaruko mitandaoni ,

Leo media nyingi zinaguswa natukio la mbosso na diamond,jamani waandishi ya habari ndio chanzo yamambo yote ,nawasani endapo unaulizwa swali na mwandishi wa habari kuwa makini mda mwingine ,najuwa wengi wana sema Simba nimbaya lakini wengi humsema wivu imemkuta diamond kwa nyimbo ya pawa ,Sasa ni ivi kuna watu wanataka mbosso mbele yasafari afeli kwakutumia kigezo ashindane na Simba,watu wamesau mazuri wcb ilimfanyia mpaka awe apo, imemzalisha yeye mbosso kuwa ivyo alivyo kuwa na humati ya watu ,ukiangalia walio wengi wanao weka porojo mitandaoni niwatu kwanza awanamaisha ,pia niwatu wanaangaika TU ,awawezi mshauri mbosso mazuri tofauti makupenda awe ki nyume na kwenye aliko toka , diamond PLATNUMZ nimsani wakupewa eshima jamaani anazalisha wasani kwasasa wakitowa Ngoma inaenda East Africa mapema sana nakushika number , kesho tunakuja na ukurasa mzima wa mbosso na makosa alio Fanya mbosso.

254

ZUCHU Ametulia tuli na Amanda yake 💚😃
22/08/2025

ZUCHU

Ametulia tuli na Amanda yake 💚😃

Address

Job
Moi
254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BONGO MEDIA 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share