BARA ONE TV

BARA ONE TV Updates

Victoria Mumbua leaves behind a young family, including a Form One student at Lenana School. The family could not believ...
05/10/2024

Victoria Mumbua leaves behind a young family, including a Form One student at Lenana School. The family could not believe it after viewing her body - Full story in comments.

Photo: Victoria Mumbua/City Council (Facebook)

The National Treasury wrote to the IMF to assess financial mismanagement in government - Details in comments.Photo: Will...
05/10/2024

The National Treasury wrote to the IMF to assess financial mismanagement in government - Details in comments.

Photo: William Ruto/Facebook.

Ratiba Rasmi ya Mazishi ya Mpendwa wetu Khadija Shaibu ( Dida ), ambapo Siku ya Leo Oktoba 5 2024 Mwili wake unatarajiwa...
05/10/2024

Ratiba Rasmi ya Mazishi ya Mpendwa wetu Khadija Shaibu ( Dida ), ambapo Siku ya Leo Oktoba 5 2024 Mwili wake unatarajiwa kupumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Kwenye Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam Majira ya Saa 10 Alasiri .






Uongozi wa Wasafi Media Unasikitika Kutangaza Kifo Cha aliyekua Mtangazaji wa Kipindi Cha Mashamsham cha Wasafi FM Khadi...
05/10/2024

Uongozi wa Wasafi Media Unasikitika Kutangaza Kifo Cha aliyekua Mtangazaji wa Kipindi Cha Mashamsham cha Wasafi FM Khadija Shaibu ( Maarufu k**a Dida) .

Dida atakumbukwa kwa Uhodari wake na Ubora wake Kwenye Tasnia ya Habari, Uliompelekea Kuwa Mtangazaji Namba Moja wa K**e Nchini na Kuwa Kioo kwa Wanawake na Watangazaji Wengi waliokua wanamtazama k**a Mfano .

Tunaungana na Ndugu , Jamaa na Marafiki Wote Kusheherekea Maisha Ya DIDA , Na Kuenzi Yale Mengi Mazuri aliyoyafanya Kwenye Jamii na Tasnia ya Uandishi wa Habari .

Tunamuombea Mungu ailaze Roho yake Mahala Pema Peponi , Amen .

UPDATE: Rigathi Gachagua is now asking Kenyans to save him
30/09/2024

UPDATE: Rigathi Gachagua is now asking Kenyans to save him

The Johnnie Walker team has apologized for a disappointing Day Two of Walker Town, and promises to refund all ticket hol...
30/09/2024

The Johnnie Walker team has apologized for a disappointing Day Two of Walker Town, and promises to refund all ticket holders. Their statement explains that heavy rains was part of what caused significant delays leading to Ms.Lauryn Hill performing at around 3 AM.

  Mahak**a ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha ...
30/09/2024

Mahak**a ya Hakimu Mkazi Dodoma (Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki) leo September 30,2024 imewahukumu kifungo cha maisha jela Washtakiwa wanne wakiwamo Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Magereza baada ya kuwakuta na hatia katika makosa yote mawili walioshtakiwa nayo la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti Mkazi wa Yombo Dovya, Jijini Dar es Salaam.

Kesi hii ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 ilikuwa inawakabili Washtakiwa wanne akiwamo MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo ambaye ni Askari wa JWTZ, Askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.

Kesi hii maarufu ‘Waliotumwa na Afande’ imesikilizwa faragha katika Mahak**a ya Hakimu Mkazi Dodoma ambapo upande wa Jamhuri uliwasilisha Mashahidi 18 na vielelezo 12 kuthibitisha mashtaka dhidi ya Washtakiwa.

Washtakiwa walifikishwa Mahak**ani kwa mara ya kwanza August 19, 2024 na kusomewa mashtaka mawili ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile Binti huyo ambaye Mahak**ani anatambulika kwa jila la XY ambapo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Zabibu Mpangule Washtakiwa hao baada ya kusomewa mashataka walikana na kutokana na unyeti wa kesi hiyo hawakupatiwa dhamana ambapo baada ya kesi kusikilizwa kwa siku kadhaa leo wamesomewa hukumu na kukutwa na hatia hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha.

02/08/2024

Congratulations UDA party Super Secretary General Hassan Omar Hassan
All the very best in you new assignment
Continue serving Kenyans kiongozi

Asap
11/07/2024

Asap

Rest in peace 🕊️
28/03/2024

Rest in peace 🕊️

Hon Peter K. Salasya invites all Form Four (4) candidate and those who are expected to join institutions of higher learn...
28/03/2024

Hon Peter K. Salasya invites all Form Four (4) candidate and those who are expected to join institutions of higher learning to a career guidance and mentorship forum on FRIDAY, March 29, 2024 at KMTC Ground Shianda from 8am

Karibuni
Peter salasya
KMTC SHIANDA COLLEGE
Mumias East Constituency
Kakamega County
Radio ingo
fm

      RIP
25/02/2024

RIP

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BARA ONE TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BARA ONE TV:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share