Gospel world song's

Gospel world song's Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gospel world song's, Digital creator, Mombasa.

Best Biryani Top In Town Mombasa Kingorani karibuni Sana click the link below πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
22/12/2023

Best Biryani Top In Town Mombasa Kingorani karibuni Sana click the link below πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

17/06/2023

Wanaopigana na wewe hawatakushinda maana MUNGU yupo na wewe kila wakati, atakupigania. Usihofu mipango wanaopanga kinyume chako haitafaulu. MUNGU anatuwazia mema kila siku.

21/05/2023

MUNGU akufanyie wepesi magumu yote unayopitia, asikilize maombi yako na kukujalia baraka za fanaka

Usife moyo japo unapitia magumu maishani, leo yako inaweza kujaa kilio, vifo, kukosa kazi au kukosa mchumba lakini kesho...
21/05/2023

Usife moyo japo unapitia magumu maishani, leo yako inaweza kujaa kilio, vifo, kukosa kazi au kukosa mchumba lakini kesho yako yaja yenye matumaini, changamoto ni ya muda kidogo dumu kwenye maombi na MUNGU Atakushangaza!

Hata wakikutegea mitego ya kukuangamiza au kuwaza mabaya juu yako ya kukuvunja moyo na kukukatisha tamaa, usihofu siku z...
21/05/2023

Hata wakikutegea mitego ya kukuangamiza au kuwaza mabaya juu yako ya kukuvunja moyo na kukukatisha tamaa, usihofu siku zote MUNGU anakuwazia mema na atakuondolea mabaya yote

21/05/2023

Sikiliza:
Mshukuru MUNGU kwa mafanikio yako!
Mshkuru kwa ajili ya uhai ulionao hadi Sasa!
Sema ASANTE MUNGU!
Amen!

Ikiwa mpango wako ni kuinua familia yako kutoka kwa umaskini nakuombea ufanikiwe in Jesus name πŸ™πŸ™
11/05/2023

Ikiwa mpango wako ni kuinua familia yako kutoka kwa umaskini nakuombea ufanikiwe in Jesus name πŸ™πŸ™

NAKUOMBE MILANGO YA MAISHA YAKO IFUNGULIWE KWA JINA LA YESU KRISTOπŸ™1.upate pesa ya kulipia watoto wako school fees2.upat...
11/05/2023

NAKUOMBE MILANGO YA MAISHA YAKO IFUNGULIWE KWA JINA LA YESU KRISTOπŸ™

1.upate pesa ya kulipia watoto wako school fees
2.upate pesa ya Kulipa rent na kununua chakula Cha kila siku
3.upate uzima wa Milele na amani in Jesus name

Comment "YESU FUNGUA MILANGO YA MAISHA YANGU"Kama unajua yesu anawezaπŸ™πŸ™πŸ™

10/05/2023

WANAOKUDHARAU SIKU MOJA WATAKUSALIMIA KWA HESHIMA. LEO UNAITWA OMBA OMBA KESHO WEWE NI MENEJA OFISINI.
KUMBUKA MUNGU SIO MWANADAMU

10/05/2023

MUNGU AKUPE KIBALI MBELE YA WATESI WAKO, AKUPE HAJA YA MOYO WAKO AKUINUE, AKUTUNZE TENA AKUBARIKI UZIDI KUMTUMAINIA YEYE TU

I failed you   makcnzi
04/05/2023

I failed you makcnzi

Ni utoto gani huwezi wacha ataUkiolewa ama ukioa,,,,,
04/05/2023

Ni utoto gani huwezi wacha ata
Ukiolewa ama ukioa,,,,,

02/05/2023

Huyu jamaa anaweza ama hawezi..??πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ€­

Wagalatia 2:20 Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu; na uhai ...
30/04/2023

Wagalatia 2:20

Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai; wala si mimi tena, bali Kristo yu hai ndani yangu; na uhai nilio nao sasa katika mwili, ninao katika imani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda, akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu

29/04/2023

Mathayo 4: 17πŸ–‹

Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Address

Mombasa

Telephone

+254745127755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gospel world song's posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gospel world song's:

Share