10/09/2026
Mwili wa mwanamke mmoja wapatikana ukiwa umeanza kuoza baada ya kifo chake kutokea kwa muda huko Lavington Apartment jijini Nairobi. Mercy Maina mwenye umri wa miaka 32 Anadaiwa kujitia kitanzi na kuacha barua ambayo alimuomba Mzazi wake msamaha. Kulingana na mfanya usafi wa jumba hilo...Mercy aLigundulika kufa kwake baada ya harufu ya muozo kuenea nje ya sehemu ya jumba hilo ambapo alikuwa amepanga. Aidha kulingana na wazazi wake ..mara ya mwisho kuzungumza na Mercy, hakuonyesha Utofauti wowote wa kimawazo ambao ungempelekea kufanya kitendo hicho.
HAABI MEDIA